J C
JF-Expert Member
- Dec 12, 2013
- 3,191
- 2,721
Mkuu jiandae kufirisika vibaya. Mafanikio yetu mengine huwa yamebebwa na ndugu hasa ukijikuta wewe una ka msingi. Kuna jamaa moja hivyo hivyo ili kusambalatisha ndugu zake aliuza nyumba kabisaa kweli jamaa wakasambaa alipoteza watoto wote kasoro mmoja na aliyenunua hiyo nyumba watoto wake waliishia kuvuta bangi na yeye kutengana na mke wake. Ogopa ndugu unaowalea wewe huwa wamebeba mafanikio yako. Likitimia nistue. Wewe fuata likes za wanafiki wa humu itakula kwako.