Usijaribu kukaa na ndugu zako kwenye familia yako, utajuta!

Hayo ni makosa makubwa sana. Normally binadamu tabia zao hazibadiliki sana hasa wakiwa wakubwa. Kisa familia? Wasomeshe boarding waje wakae miezi mitatu kama unauwezo.

Akija baba yao mpangie nyumba yake kama una uwezo.
Wanaume anaweza kufukuza ndugu zake ila hawezi kufukuza ndugu wa mke wake. Tafakari sana hili mkuu.
 
Sio kwamba nina roho mbaya, hapana. Ila nimeona niwaambie tu.

Unapokuwa umeoa kaa na mkeo na watoto wako.

Hayo mambo ya kujazana ndani sijui mjomba sijui kaka ako sijui bamdogo, hayafai. Trust me, hata Dada zako (mawifi) tena hao ndo hawafai.

Nilipowaleta nyumbani watoto wa kaka zangu wawili nikawasomesha. Nami nina watoto wawili na mke. Jumla hapo wanne.

After that akaja sasa kaka yangu mmoja wa mwenye mtoto hapo akakaa alishaachana na mkewe na hajulikani yuko wapi.

Baada ya muda watoto wamemaliza la 7 wa kwake akafeli na wangu wakafaulu, shida ikaanzia hapa.

Ooh Mara umewasomesha watoto wako vizuri ndo maana wamefaulu sijui watoto wa ndugu zako huwasomeshi vizuri. Dah! wakati wote niliwapeleka shule moja.

Watoto wale wakaaanza nipakazia kwa baba zao (kaka zangu ) kuwa Mimi ndo nifae kulaumiwa kwa wao kufeli ..hii ishu ikafika kwa wazazi nyumbani wakanisema sana.

Nikaona ushenzi huu nikatimua ile mitoto na baba ake nikafurumusha nibaki na familia yangu pumbavu kabisa.

Mema yote hiyo ndo shukrani? Walishaanza kumsema na mama p mke wangu mambo ya kijinga.

Sitaki hata kuwasikia tena nitakuwa na wazazi tu huo undugu na hao wapuuzi ufe tu nitazikwa tu watu

Ujana wote huu nimekuwa na majukumu kama mzee? Kisa wao?
Uko sahihi kabisa!
Na bora uliwatimua!
 
Pole sana mkuu,ila hujafanya vizuri kuwaita watoto wa mwanamme mwenzio mitoto,by the way unaijua kesho yako? Kaa vizuri na ndugu zako ,ikitokea Leo haupo duniani hao ndo watakulelea watoto wako.ni ushauri tu!
 
Lipo moja hapa lilikuja kwa kudai shule zimefungwa ila baadae likageuza kibao kumbe amefeli form 4, tabu inakuja hataki kusomea chochote wala kufanya kazi...hata dukani haendi muda wote miguu juu kwenye Tv na akisikia nimewasha chombo unamuona haraka anafungua mlango na kuingia bila hata kujua unakwenda wapi! Hawa watoto wenu mnapowadekeza ishini nao wenyewe maana hizi ni itikadi za kihanithi sasa!!
 
Sio kwamba nina roho mbaya, hapana. Ila nimeona niwaambie tu.

Unapokuwa umeoa kaa na mkeo na watoto wako.

Hayo mambo ya kujazana ndani sijui mjomba sijui kaka ako sijui bamdogo, hayafai. Trust me, hata Dada zako (mawifi) tena hao ndo hawafai.

Nilipowaleta nyumbani watoto wa kaka zangu wawili nikawasomesha. Nami nina watoto wawili na mke. Jumla hapo wanne.

After that akaja sasa kaka yangu mmoja wa mwenye mtoto hapo akakaa alishaachana na mkewe na hajulikani yuko wapi.

Baada ya muda watoto wamemaliza la 7 wa kwake akafeli na wangu wakafaulu, shida ikaanzia hapa.

Ooh Mara umewasomesha watoto wako vizuri ndo maana wamefaulu sijui watoto wa ndugu zako huwasomeshi vizuri. Dah! wakati wote niliwapeleka shule moja.

Watoto wale wakaaanza nipakazia kwa baba zao (kaka zangu ) kuwa Mimi ndo nifae kulaumiwa kwa wao kufeli ..hii ishu ikafika kwa wazazi nyumbani wakanisema sana.

Nikaona ushenzi huu nikatimua ile mitoto na baba ake nikafurumusha nibaki na familia yangu pumbavu kabisa.

Mema yote hiyo ndo shukrani? Walishaanza kumsema na mama p mke wangu mambo ya kijinga.

Sitaki hata kuwasikia tena nitakuwa na wazazi tu huo undugu na hao wapuuzi ufe tu nitazikwa tu watu

Ujana wote huu nimekuwa na majukumu kama mzee? Kisa wao?
Unashindwa kuplay leadership role halafu unakuja kutuambia tusikae na ndugu? Tunakaa na ndugu, tunawanyoosha na hata wakikaa mbali tinawanyoosha. Hadi mashemeji tunawanyoosha. Pengine wewe ulikaa nao nusu au kwa kuwaonea aibu au kuwaendekeza.
 
Be principled, tell them what you believe it is true, build your own culture to be known and followed by everyone regardless of pettytalks from anywhere.
 
Back
Top Bottom