Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,062
Hilo la kumuonea wivu mke ndiyo nambari one! Binadamu tuone hivi hivi tuna nywele lakini mmmKinacho uma ni pale wanapoanza kumuonea wivu mke wako na kumuona anafaidi sana
Hilo la kumuonea wivu mke ndiyo nambari one! Binadamu tuone hivi hivi tuna nywele lakini mmmKinacho uma ni pale wanapoanza kumuonea wivu mke wako na kumuona anafaidi sana
Dah nimecheka sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli ukiwa na hasira neno lolote linakuponyoka tu
Basi sawa, ila usije siku nyingine kufungua uzi wa kufukuzwa kwenye hiyo nyumba ambayo unafikiri unaimiliki, umejaribu kugongea nafasi kwenye chumba cha watoto imeshindikana, option uliyo nayo ni kulala stoo.My house, my rules. Full stop.
Yaani nazidi kupata hasira mkuuBosi umenichekesha sana!! usikute watoto wakaanza kusema walikua wanafanyishwa sana kazi kuliko mtoto wako!! mara chakula tunanyimwa..e.t.c Nakumbuka tulikua tunakaa na watoto wa shangaz kipind hicho tulikua tunasoma nao..sasa matokeo yalipotoka sisi tukafaulu..uhasama ukaanzia hapo mpaka mama yangu anaingia kaburin ikawa uadui mkubwa sana mpaka leo hii sisi tupo kivyetu vyetu bibi nae aliungana na shangazi kumponda mama nae hatuna mawasiliano mazur..Nilijifunza
Mbona unanizeesha mkuu? Nilipozeeka hapa panatoshaHayo ni makosa makubwa sana. Normally binadamu tabia zao hazibadiliki sana hasa wakiwa wakubwa. Kisa familia? Wasomeshe boarding waje wakae miezi mitatu kama unauwezo.
Akija baba yao mpangie nyumba yake kama una uwezo.
Wewe uliskia wapi?inategemea lakini...unajua sisi waafrika tunakasumba kuwa mtu akikusaidia anategemea umlipe fadhira sawa ama zaidi ya kile alichokusaidi...
inawezekana pengine kaka yako alitumia gharama zake kukusomesha hadi ukapata kazi
Kwanza naomba uelewe sjna moyo wa kuvumilia upumbavu kama huoNdugu yako ni ndugu yako tu kwa maana mnafanana DNA ingawa anaweza asiwe rafiki yako. Ila undugu unanoga sana kama utachanganywa na urafiki.
Kuna siku moja (miaka kadhaa mbele) hasira zitaisha na utagundua kuwa ulichokifanya sio sahihi kwa maana hata huy mkeo anaweza kukukera na mmekutana ukubwani tu.
Je, wangekuwa ni ndugu wa mkeo ungewafukuza kwa namna hiyo?
Hivi upo siriaz kweli wewe mkuu?Wanaume anaweza kufukuza ndugu zake ila hawezi kufukuza ndugu wa mke wake. Tafakari sana hili mkuu.
Mbona unanizeesha mkuu? Nilipozeeka hapa panatosha
Nina miaka 26 tu hapa yeye ana miaka takriban 34 nimpangie nyumba? Unadhani basi hana hela? Anazo sana ila starehe hata mkewe walishaachana ...sababu hiyo anachimbaga madini yule
Hao watoto Mimi siwajui tena nimebaki baba mdogo jina ,niliwapenda ,kuwajalj nikawaona kama watoto wangu kama bao langu..!
Walichonfanyia ni sawa?
Nkmekuwa kama mzeee wakati hata 30 sijafika sababu yao?
Nikiwaona tena kwangu nitawafungulia hata mambwa
Uko sawa kabisa broSio kwamba nina roho mbaya, hapana. Ila nimeona niwaambie tu.
Unapokuwa umeoa kaa na mkeo na watoto wako.
Hayo mambo ya kujazana ndani sijui mjomba sijui kaka ako sijui bamdogo, hayafai. Trust me, hata Dada zako (mawifi) tena hao ndo hawafai.
Nilipowaleta nyumbani watoto wa kaka zangu wawili nikawasomesha. Nami nina watoto wawili na mke. Jumla hapo wanne.
After that akaja sasa kaka yangu mmoja wa mwenye mtoto hapo akakaa alishaachana na mkewe na hajulikani yuko wapi.
Baada ya muda watoto wamemaliza la 7 wa kwake akafeli na wangu wakafaulu, shida ikaanzia hapa.
Ooh Mara umewasomesha watoto wako vizuri ndo maana wamefaulu sijui watoto wa ndugu zako huwasomeshi vizuri. Dah! wakati wote niliwapeleka shule moja.
Watoto wale wakaaanza nipakazia kwa baba zao (kaka zangu ) kuwa Mimi ndo nifae kulaumiwa kwa wao kufeli ..hii ishu ikafika kwa wazazi nyumbani wakanisema sana.
Nikaona ushenzi huu nikatimua ile mitoto na baba ake nikafurumusha nibaki na familia yangu pumbavu kabisa.
Mema yote hiyo ndo shukrani? Walishaanza kumsema na mama p mke wangu mambo ya kijinga.
Sitaki hata kuwasikia tena nitakuwa na wazazi tu huo undugu na hao wapuuzi ufe tu nitazikwa tu watu
Ujana wote huu nimekuwa na majukumu kama mzee? Kisa wao?
Bado yupo mkuu, hata chakula cha usiku tukila saa moja ila ikifika saa nne usiku anauliza leo hakupikwi kwa nini.Haha, nafikiri tatizo ni kudekezana. Waambie yeye na baba yake ukweli.
Itisha kikao cha ukoo, ubishi timua.
Bado unaishi naye?
Sio kwamba nina roho mbaya, hapana. Ila nimeona niwaambie tu.
Unapokuwa umeoa kaa na mkeo na watoto wako.
Hayo mambo ya kujazana ndani sijui mjomba sijui kaka ako sijui bamdogo, hayafai. Trust me, hata Dada zako (mawifi) tena hao ndo hawafai.
Nilipowaleta nyumbani watoto wa kaka zangu wawili nikawasomesha. Nami nina watoto wawili na mke. Jumla hapo wanne.
After that akaja sasa kaka yangu mmoja wa mwenye mtoto hapo akakaa alishaachana na mkewe na hajulikani yuko wapi.
Baada ya muda watoto wamemaliza la 7 wa kwake akafeli na wangu wakafaulu, shida ikaanzia hapa.
Ooh Mara umewasomesha watoto wako vizuri ndo maana wamefaulu sijui watoto wa ndugu zako huwasomeshi vizuri. Dah! wakati wote niliwapeleka shule moja.
Watoto wale wakaaanza nipakazia kwa baba zao (kaka zangu ) kuwa Mimi ndo nifae kulaumiwa kwa wao kufeli ..hii ishu ikafika kwa wazazi nyumbani wakanisema sana.
Nikaona ushenzi huu nikatimua ile mitoto na baba ake nikafurumusha nibaki na familia yangu pumbavu kabisa.
Mema yote hiyo ndo shukrani? Walishaanza kumsema na mama p mke wangu mambo ya kijinga.
Sitaki hata kuwasikia tena nitakuwa na wazazi tu huo undugu na hao wapuuzi ufe tu nitazikwa tu watu
Ujana wote huu nimekuwa na majukumu kama mzee? Kisa wao?
[/QUOTE
Kuishi na Watoto wa Ndugu ni kujikosesha Ufalme wa Mbinguni. Hawabebeki hawana Shukrani. Weeee Acha tuuu
Hii story itakuwa Chai tupu, yaani una miaka 26 watoto wako wameshamaliza darasa la Saba?Mbona unanizeesha mkuu? Nilipozeeka hapa panatosha
Nina miaka 26 tu hapa yeye ana miaka takriban 34 nimpangie nyumba? Unadhani basi hana hela? Anazo sana ila starehe hata mkewe walishaachana ...sababu hiyo anachimbaga madini yule
Hao watoto Mimi siwajui tena nimebaki baba mdogo jina ,niliwapenda ,kuwajalj nikawaona kama watoto wangu kama bao langu..!
Walichonfanyia ni sawa?
Nkmekuwa kama mzeee wakati hata 30 sijafika sababu yao?
Nikiwaona tena kwangu nitawafungulia hata mambwa
Pole mkuu na mimi nilishajichokea hawa watu hawafai! Yaani wanataka wakija kukaa kwako waishi kama hakuna baba pale home! Yaani watende wanavyojisikia! Sitaki ujinga tena hata mimi tumekubaliana kama msaada tusaidie huko huko waliko! Hawa niliowachukua wakiwa watoto wacha niendelee nao maana hawa wame-cope na mazingira ya kwangu! Haya yanayokuja makubwa yabaki huko huko!
Hahaaa kweli mkuu hesabu imegoma, na correction fluids hamna, tuna cancel na pls mgawa karatasi naomba upya nyingine tuanze swali calculation upyaHii story itakuwa Chai tupu, yaani una miaka 26 watoto wako wameshamaliza darasa la Saba?
Tu-assume watoto walianza darasa la kwanza wana miaka 5, hivyo wamemaliza darasa la Saba na miaka 12, hivyo uliwazaa na miaka 14.
Hii ni
View attachment 1705200