Usijaribu kukaa na ndugu zako kwenye familia yako, utajuta!

Dduuhh pole sn mkuu.

Inafika mahali tuishi tu maisha ya kizungu.

Km una ndugu au jamaa unataka kusaidia wasaidie huko huko mwakwao walipo..... waswahili badala ya kupata thawabu watakupatisha dhambi
Hyo kauli nisha itoaga sehem watu wakaniona nina roho mbaya sana sipendi ndg...

( ili uishi kwa aman na ndoa yako usikubali kuishi na ndg,ikiwa wewe ndio msahada kwao basi wasaidie wakiwa uko uko, ila style ya kuishi na ndg ndan ya nyumba mmmmh[emoji848] ata ile nan mwenye mke hakunaga kila mtu atataka awe na saut kwa mkeo
 
Sio kwamba nina roho mbaya, hapana. Ila nimeona niwaambie tu.

Unapokuwa umeoa kaa na mkeo na watoto wako.

Hayo mambo ya kujazana ndani sijui mjomba sijui kaka ako sijui bamdogo, hayafai. Trust me, hata Dada zako (mawifi) tena hao ndo hawafai.

Nilipowaleta nyumbani watoto wa kaka zangu wawili nikawasomesha. Nami nina watoto wawili na mke. Jumla hapo wanne.

After that akaja sasa kaka yangu mmoja wa mwenye mtoto hapo akakaa alishaachana na mkewe na hajulikani yuko wapi.

Baada ya muda watoto wamemaliza la 7 wa kwake akafeli na wangu wakafaulu, shida ikaanzia hapa.

Ooh Mara umewasomesha watoto wako vizuri ndo maana wamefaulu sijui watoto wa ndugu zako huwasomeshi vizuri. Dah! wakati wote niliwapeleka shule moja.

Watoto wale wakaaanza nipakazia kwa baba zao (kaka zangu ) kuwa Mimi ndo nifae kulaumiwa kwa wao kufeli ..hii ishu ikafika kwa wazazi nyumbani wakanisema sana.

Nikaona ushenzi huu nikatimua ile mitoto na baba ake nikafurumusha nibaki na familia yangu pumbavu kabisa.

Mema yote hiyo ndo shukrani? Walishaanza kumsema na mama p mke wangu mambo ya kijinga.

Sitaki hata kuwasikia tena nitakuwa na wazazi tu huo undugu na hao wapuuzi ufe tu nitazikwa tu watu

Ujana wote huu nimekuwa na majukumu kama mzee? Kisa wao?
You have done your role and played your part!!
Ila Ujue maisha yana changamoto:-
Ulifanya haraka sana kukata udugu..kukata rehema za uzazi.. huwezi kukimbia uhakika !!

Wenzio walikuwa na misongo na nafsi zao zilikuwa zinapitia mengi usiyoyajua...
(( watoto wa darasa la saba bila mama yao ni kiza kinene na utata wakutojitambua))

Kaka yako kumtaliki Mkewe ni tatizo lingine ndo maana Akaja kufunga kambi kwako!!

Rudisha majeshi ujipange kiutu uzima na kiume.. ukoo una mazuri yake na heri zake...

Naamini hadi hivi sasa haupo timamu..
(mawazo Yamekutawala)
Good Luck
Ushauri tu
 
Mbona unanizeesha mkuu? Nilipozeeka hapa panatosha
Nina miaka 26 tu hapa yeye ana miaka takriban 34 nimpangie nyumba? Unadhani basi hana hela? Anazo sana ila starehe hata mkewe walishaachana ...sababu hiyo anachimbaga madini yule

Hao watoto Mimi siwajui tena nimebaki baba mdogo jina ,niliwapenda ,kuwajalj nikawaona kama watoto wangu kama bao langu..!

Walichonfanyia ni sawa?
Nkmekuwa kama mzeee wakati hata 30 sijafika sababu yao?
Nikiwaona tena kwangu nitawafungulia hata mambwa
Ndugu sijakuelewa vizuri una miaka 26 alafu mtoto wako amemaliza sdt 7? Kwa sisi watu wa hesabu inatuchanganya sana.

Let assume mtoto wako amemaliza la 7 akiwa na miaka 12. Unataka kusema uliweka mbegu ukiwa na miaka 13 na mtoto kazaliwa ukiwa na 14?

Je na mke wako alikuwa na umri gani?
Kwa heshima yako naomba kueleweshwa
 
Pole Ila tambua hao ni ndugu zako na hao ndio watakupokea pindi ukiwa mahututiau ukiwa choka mbaya ,mke na ndugu wa mke watapita hivi..
 
Ndugu yako ni ndugu yako tu kwa maana mnafanana DNA ingawa anaweza asiwe rafiki yako. Ila undugu unanoga sana kama utachanganywa na urafiki.

Kuna siku moja (miaka kadhaa mbele) hasira zitaisha na utagundua kuwa ulichokifanya sio sahihi kwa maana hata huy mkeo anaweza kukukera na mmekutana ukubwani tu.

Je, wangekuwa ni ndugu wa mkeo ungewafukuza kwa namna hiyo?
Tuletee mresho kama ulisha kaa na ndg ili tuamini uacho kiongea

We unasema hvo uwelewi wewe ndy

kuna rafikia angu alikuwa ameolewa kila siku alikuwa ni kulia na ndg wa mume,

Kbla hajaolewa mwanaume wake hakuwa na chochote kbsaaa, alikuwa ni mfanya kazi kwenye kampun moja inajiusisha na mambo ya fedha, mwanaume ana miaka 7 kazin na analipwa mshahara 1m lakin ata kiwanja hana

Kwa miaka saba yote hyo alikuwa akisomesha ndy zake wawili wakike na wakiume tena seminal,

Wa kike kufika form 2 akabeba mimba, akaacha shule akawa mtu wa nyumban na aliye mpa mimba akamtelekeza kaka ake ndo akawa mtoa matumizi tena kwa mtoto

baadae akaenda kumununulia mama yake kiwanja na kumjengea nyumba ya vyumba 4 na seble

Huyu wa kiume alipo maliza form 4 akafel kaka mtu akatafuta chuo,akalipa ada mdgo mtu asome matokeo yake dogo akasoma miezi 2 kaacha chuo akadai atafutiwe chuo kingine kaka mtu akatafuta pamoja na mama yake

Siku zikaenda mama mtu akaenda kukopa mkopo bank wa 25 akaandika nyumba aliyo jengewa na mtoto na ule mkopo alikuwa ameenda kumkopea bwana ake ambaye alimshawishi akakope afungue biashara, pasioo kufikilia na yeye akakenda kukopa

Kilicho tokea baada ya mwaka den limewashinda kulipa bank wamepiga mnada nyumba

Ajakaa sawa mtoto wa dada ake anataka kusoma yeye ndo mlipaj wa ada

Mama na dada mtu baad ya nymba kupigwa mnada wakaenda kupanga dada mtu hataki kufanya kazi, kaka mtu ndo mtoa matumizi kuanzia kula mpka mavazi

Timbwili lilikuja baad ya jamaa kuoa, kipindi anafanya yote hyo alikuwa amepanga chumba kimoja tena ata kijiko hana ana kitanda na godoro tu

dada wa watu akawa mtu wa kumshauri mume wafanya kazi wenzie wote wamejinga wana magari yeye wala ata

Kibaya zaidi ukimshauri kuhusu ndg ndo mnagomban kabsaaaaaa

Baadae wakajikwamua wakapanga chumba na seble, na hapo ndipo alipo amua kumlete mtoto wa dada ake na mdgo ake wa kiume

Hapo ndo ndoa ilipo vunjika kaka aaambiliki kuhusu ndgze wanamchongea mkewe kwake akirudi ni kupiga mke na kumtukana matusi

Dada wa watu yakamshinda akaamua kula mitar baada ya miezi 3 jamaa akaachwa kazi saa hv yupo yupo tu ata haelewiki
 
Kwahiyo ulitaka asisomeshe ndugu zake!?

Mimba sijui kufeli ni jambo la kawaida tu. Ni changamoto zinazotatulika.

Hata watoto wako wanaweza kubebeshwa mimba vile vile. Tuache kujificha kwenye visingizio.

Wanawake wengi huwa ni wachoyo sana hasa kwenye chakula. Hapo ndipo ulipo mzizi wa fitna zote!

Unaweza kustaajabu kukuta kwamba mwanamke hapendi ndugu wa mume kwa sababu ya uroho wake wa vyakula tu wala hakuna kingine.
 
Tuletee mresho kama ulisha kaa na ndg ili tuamini uacho kiongea

We unasema hvo uwelewi wewe ndy

kuna rafikia angu alikuwa ameolewa kila siku alikuwa ni kulia na ndg wa mume,

Kbla hajaolewa mwanaume wake hakuwa na chochote kbsaaa, alikuwa ni mfanya kazi kwenye kampun moja inajiusisha na mambo ya fedha, mwanaume ana miaka 7 kazin na analipwa mshahara 1m lakin ata kiwanja hana

Kwa miaka saba yote hyo alikuwa akisomesha ndy zake wawili wakike na wakiume tena seminal,

Wa kike kufika form 2 akabeba mimba, akaacha shule akawa mtu wa nyumban na aliye mpa mimba akamtelekeza kaka ake ndo akawa mtoa matumizi tena kwa mtoto

baadae akaenda kumununulia mama yake kiwanja na kumjengea nyumba ya vyumba 4 na seble

Huyu wa kiume alipo maliza form 4 akafel kaka mtu akatafuta chuo,akalipa ada mdgo mtu asome matokeo yake dogo akasoma miezi 2 kaacha chuo akadai atafutiwe chuo kingine kaka mtu akatafuta pamoja na mama yake

Siku zikaenda mama mtu akaenda kukopa mkopo bank wa 25 akaandika nyumba aliyo jengewa na mtoto na ule mkopo alikuwa ameenda kumkopea bwana ake ambaye alimshawishi akakope afungue biashara, pasioo kufikilia na yeye akakenda kukopa

Kilicho tokea baada ya mwaka den limewashinda kulipa bank wamepiga mnada nyumba

Ajakaa sawa mtoto wa dada ake anataka kusoma yeye ndo mlipaj wa ada

Mama na dada mtu baad ya nymba kupigwa mnada wakaenda kupanga dada mtu hataki kufanya kazi, kaka mtu ndo mtoa matumizi kuanzia kula mpka mavazi

Timbwili lilikuja baad ya jamaa kuoa, kipindi anafanya yote hyo alikuwa amepanga chumba kimoja tena ata kijiko hana ana kitanda na godoro tu

dada wa watu akawa mtu wa kumshauri mume wafanya kazi wenzie wote wamejinga wana magari yeye wala ata

Kibaya zaidi ukimshauri kuhusu ndg ndo mnagomban kabsaaaaaa

Baadae wakajikwamua wakapanga chumba na seble, na hapo ndipo alipo amua kumlete mtoto wa dada ake na mdgo ake wa kiume

Hapo ndo ndoa ilipo vunjika kaka aaambiliki kuhusu ndgze wanamchongea mkewe kwake akirudi ni kupiga mke na kumtukana matusi

Dada wa watu yakamshinda akaamua kula mitar baada ya miezi 3 jamaa akaachwa kazi saa hv yupo yupo tu ata haelewiki
Ndiyo awatunze sasa hao ndugu zake, alikuwa hajui kama hata mke ana baraka kwenye kazi yake? Sijui niwaite {turutumbi} hao hawanaga shukrani, kuna watu wanazaliwa kuwa punda wa familia zao.
 
Pole Ila tambua hao ni ndugu zako na hao ndio watakupokea pindi ukiwa mahututiau ukiwa choka mbaya ,mke na ndugu wa mke watapita hivi..
Kakudanganya nani, kuna mtu ndugu wakati anaumwa wanaulizia mali zake hata sent hawakutoa zaidi ya watu baki na mkewe kusimama mpaka akapata nafuu, lakini alivyokuwa anawasaidia huwezi amini, kumsaidia mtu si lazima awe ndugu yako unaweza wasaidia nawewe ukapata shida ukatoswa vile vile, hivi wale wanaodhurumu Mali za watoto wa marehemu huwa sio ndugu? Kama unao ndugu wema shukuru
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatari na nusu
Mkuu, kuna watu wanakera sana. Hivi unawezaje kufananisha vitu visivyo fanana? Nafasi ya mke wako unataka kuweka ndugu? Ninacho ona hapa anajaribu kufundisha watu kuchukia wake zao.

Kama huyo mke ni 'mtu mbaya' kiasi hicho na wewe ndiye ulimchagua awe mwenza wa maisha, hapo mwenye tatizo ni wewe uliyechagua.

Halafu hii tabia ya kutumia wake zenu wa hovyo (samahani kwa hiyo lugha) kuhukumu wake ambao ni decent inatoka wapi? Yani me nihukumu mke wangu kipenzi kwa experience mbovu ya mke wako, seriously?
 
Mpaka uwe najielewa, unakuta mke anapewa nafasi daraja la chini, unajiuliza kama familia inakamilika kuwa na ndugu tu unaoa mke wa nini? Mwanamke katoka kwao kakufuata wewe halafu eti ndugu zangu ndiyo wamuhimu daa ukosefu wa akili ya ndoa.
 
Uko sahihi mkuu, na watu wengi nilichogundua wanao ama kwa kufata mkumbo au kwa kutojielewa. Ushahidi mzuri ni threads nyingi humu za vijana wakitafuta ushauri wa mambo very ordinary, unajiuliza huyu aliwezaje kuoa kama akili aliyo nayo hata ye peke yake haimtoshi?!

Nadhani pia hii ni sabab nyingine ya kuongezeka usaliti kwenye ndoa, mwanamke anaona kabisa humpi umuhimu anaostahili kama mkeo ila we ndio unahitaji awajibike kwako 100%, haitakaa iwezekane, ndoa is a 'two way traffic'.
 
Sio kwamba nina roho mbaya, hapana. Ila nimeona niwaambie tu.

Unapokuwa umeoa kaa na mkeo na watoto wako.

Hayo mambo ya kujazana ndani sijui mjomba sijui kaka ako sijui bamdogo, hayafai. Trust me, hata Dada zako (mawifi) tena hao ndo hawafai.

Nilipowaleta nyumbani watoto wa kaka zangu wawili nikawasomesha. Nami nina watoto wawili na mke. Jumla hapo wanne.

After that akaja sasa kaka yangu mmoja wa mwenye mtoto hapo akakaa alishaachana na mkewe na hajulikani yuko wapi.

Baada ya muda watoto wamemaliza la 7 wa kwake akafeli na wangu wakafaulu, shida ikaanzia hapa.

Ooh Mara umewasomesha watoto wako vizuri ndo maana wamefaulu sijui watoto wa ndugu zako huwasomeshi vizuri. Dah! wakati wote niliwapeleka shule moja.

Watoto wale wakaaanza nipakazia kwa baba zao (kaka zangu ) kuwa Mimi ndo nifae kulaumiwa kwa wao kufeli ..hii ishu ikafika kwa wazazi nyumbani wakanisema sana.

Nikaona ushenzi huu nikatimua ile mitoto na baba ake nikafurumusha nibaki na familia yangu pumbavu kabisa.

Mema yote hiyo ndo shukrani? Walishaanza kumsema na mama p mke wangu mambo ya kijinga.

Sitaki hata kuwasikia tena nitakuwa na wazazi tu huo undugu na hao wapuuzi ufe tu nitazikwa tu watu

Ujana wote huu nimekuwa na majukumu kama mzee? Kisa wao?
Ulifanya vema.
Makasisi walisema kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe.
 
Uko sahihi mkuu, na watu wengi nilichogundua wanao ama kwa kufata mkumbo au kwa kutojielewa. Ushahidi mzuri ni threads nyingi humu za vijana wakitafuta ushauri wa mambo very ordinary, unajiuliza huyu aliwezaje kuoa kama akili aliyo nayo hata ye peke yake haimtoshi?!

Nadhani pia hii ni sabab nyingine ya kuongezeka usaliti kwenye ndoa, mwanamke anaona kabisa humpi umuhimu anaostahili kama mkeo ila we ndio unahitaji awajibike kwako 100%, haitakaa iwezekane, ndoa is a 'two way traffic'.
Wengi huchukulia ndoa ni mke ndiye mbeba misalaba yote, mtu anafanya usaliti lakini mahusiano yakichafuka mke ndiyo alaumiwe daa, na haya mambo ya kuchumbiana na kuoana kimjini mjini bila akili za ndoa ndiyo sababu ya ndoa kutokuwa imara usaliti kama kitu cha kawaida
 
Back
Top Bottom