Usijaribu kununua haya magari mawili utalia kilio cha mbwa mdomo juu

Nimecheeka hapo kwa Mnyalu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimeshuhudia dualis ikiwaka moto yenyewe kwenye parking. Naziogopa sana
 
Nimeshuhudia dualis ikiwaka moto yenyewe kwenye parking. Naziogopa sana
Nimeviambia vijamaa flani vimekuja juu kweli. Dualis ni kisirani. Kama una hakikisha unalipark kwenye maji au karibu na zimamoto.
 
Bado unakomaa nao tu[emoji23][emoji23]
Nawagonga za utosi hawa madogo. 😁😁😁😁
 
Aisee..
Kwa hiyo Passo na Dualis vimeo!
 
"But kutoka nje sioni gari. Naona Passo tu imepark. Nikarudi kuuliza gari ipo wapi?".....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ aisee kuna watu wanadharau...
 
Heading kubwa, content sifuri, yan umeandika matakataka, Mijitu mingine ni ya kuzaba vibao, faken kabisa. kanyeeeeeeenyee nyeeeee nyeeeee ndo nini? nenda ukanye pumba zako huko
 
Heading kubwa, content sifuri, yan umeandika matakataka, Mijitu mingine ni ya kuzaba vibao, faken kabisa. kanyeeeeeeenyee nyeeeee nyeeeee ndo nini? nenda ukanye pumba zako huko
Nimekunya nawe umekula ukashiba ndo maana sasa unatoa gesi tu hapa
 
Nlipokuwa nasoma huu Uzi nkasema huyu mzima kweli, nikarudi kusoma Jina nikaona Jina linasadifu yaliyomo
 
Haaa haa fala wewe nimecheka kwa nguvu usiku woote huu mpaka watu wamemka [emoji1787][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…