Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshuhudia dualis ikiwaka moto yenyewe kwenye parking. Naziogopa sanaNimekuja mkoa flani kikazi nilitumia usafiri wa ndege. Huku kuna jamaa yangu akaniambia kwa kuwa akija Dar huwa nampatia usafiri nitumie gari ndogo ambayo huwa anatumia mkewe. Niende kwake nikachukue. Nikaenda.
Nimefika nikakaribishwa ndani n.k nikamwambia shemeji nimeambiwa nije chukua gari. Akasema Yes anazo taarifa. Akanipa funguo nichukue gari nje. But kutoka nje sioni gari. Naona Passo tu imepark. Nikarudi kuuliza gari ipo wapi. Akaniambia hiyo hapo Passo. Daaah... Nikashtuka nikawaza basi ni mtie moyo shemeji yangu nikachukua nikaenda zangu Hotel. Nlipark
Passo vigari vina kisirani sana unaweza ukakaa hivi kakajiwasha. Unasikia tu kanyenyeee nyeeee kanyeeee nyeeeeeeeee vrruuuuum..... Halafu kanaendelea kunguruma. Basi unaenda una kazima. Ukiwa unarudi kukaa kanajiwasha tena. Yaani ili mradi kakukere tu.
Wakati mwingine upo barabarani kanasusa kanazima. For no apparent reason. Ukikawasha kanatetemeka kama kana degedege. Yaani ni shida tu kwa kweli.
Nikakumbuka Dualis hizi gari tunaziita Mnyalu. Zina hasira kinoma. Yaani kama wahehe tu. Unaweza ukapark nje ukakuta kamejitia moto. Unashangaa why? Basi tu ndo imeshaamua ife. Yaani kwa watu wengi sasa hivi Dualis wanazipark kwenye swimming pool au ndani ya bwawa la maji.
Maana watu wanakwambia at any tea time inaweza jitia kiberiti ikawaka moto ina hasira kama wahehe. Sasa watu wakipark wanahakikisha ni karibu na maji au wanaenda park pale kariakoo fire. Usije ukanunua hayo magari ni kichefu chefu sana.
Nimeviambia vijamaa flani vimekuja juu kweli. Dualis ni kisirani. Kama una hakikisha unalipark kwenye maji au karibu na zimamoto.Nimeshuhudia dualis ikiwaka moto yenyewe kwenye parking. Naziogopa sana
Bado unakomaa nao tu[emoji23][emoji23]Nimeviambia vijamaa flani vimekuja juu kweli. Dualis ni kisirani. Kama una hakikisha unalipark kwenye maji au karibu na zimamoto.
Nimekuja mkoa flani kikazi nilitumia usafiri wa ndege. Huku kuna jamaa yangu akaniambia kwa kuwa akija Dar huwa nampatia usafiri nitumie gari ndogo ambayo huwa anatumia mkewe. Niende kwake nikachukue. Nikaenda.
Nimefika nikakaribishwa ndani n.k nikamwambia shemeji nimeambiwa nije chukua gari. Akasema Yes anazo taarifa. Akanipa funguo nichukue gari nje. But kutoka nje sioni gari. Naona Passo tu imepark. Nikarudi kuuliza gari ipo wapi. Akaniambia hiyo hapo Passo. Daaah... Nikashtuka nikawaza basi ni mtie moyo shemeji yangu nikachukua nikaenda zangu Hotel. Nlipark
Passo vigari vina kisirani sana unaweza ukakaa hivi kakajiwasha. Unasikia tu kanyenyeee nyeeee kanyeeee nyeeeeeeeee vrruuuuum..... Halafu kanaendelea kunguruma. Basi unaenda una kazima. Ukiwa unarudi kukaa kanajiwasha tena. Yaani ili mradi kakukere tu.
Wakati mwingine upo barabarani kanasusa kanazima. For no apparent reason. Ukikawasha kanatetemeka kama kana degedege. Yaani ni shida tu kwa kweli.
Nikakumbuka Dualis hizi gari tunaziita Mnyalu. Zina hasira kinoma. Yaani kama wahehe tu. Unaweza ukapark nje ukakuta kamejitia moto. Unashangaa why? Basi tu ndo imeshaamua ife. Yaani kwa watu wengi sasa hivi Dualis wanazipark kwenye swimming pool au ndani ya bwawa la maji.
Maana watu wanakwambia at any tea time inaweza jitia kiberiti ikawaka moto ina hasira kama wahehe. Sasa watu wakipark wanahakikisha ni karibu na maji au wanaenda park pale kariakoo fire. Usije ukanunua hayo magari ni kichefu chefu sana.
Nawagonga za utosi hawa madogo. 😁😁😁😁Bado unakomaa nao tu[emoji23][emoji23]
Aisee..Nimekuja mkoa flani kikazi nilitumia usafiri wa ndege. Huku kuna jamaa yangu akaniambia kwa kuwa akija Dar huwa nampatia usafiri nitumie gari ndogo ambayo huwa anatumia mkewe. Niende kwake nikachukue. Nikaenda.
Nimefika nikakaribishwa ndani n.k nikamwambia shemeji nimeambiwa nije chukua gari. Akasema Yes anazo taarifa. Akanipa funguo nichukue gari nje. But kutoka nje sioni gari. Naona Passo tu imepark. Nikarudi kuuliza gari ipo wapi. Akaniambia hiyo hapo Passo. Daaah... Nikashtuka nikawaza basi ni mtie moyo shemeji yangu nikachukua nikaenda zangu Hotel. Nlipark
Passo vigari vina kisirani sana unaweza ukakaa hivi kakajiwasha. Unasikia tu kanyenyeee nyeeee kanyeeee nyeeeeeeeee vrruuuuum..... Halafu kanaendelea kunguruma. Basi unaenda una kazima. Ukiwa unarudi kukaa kanajiwasha tena. Yaani ili mradi kakukere tu.
Wakati mwingine upo barabarani kanasusa kanazima. For no apparent reason. Ukikawasha kanatetemeka kama kana degedege. Yaani ni shida tu kwa kweli.
Nikakumbuka Dualis hizi gari tunaziita Mnyalu. Zina hasira kinoma. Yaani kama wahehe tu. Unaweza ukapark nje ukakuta kamejitia moto. Unashangaa why? Basi tu ndo imeshaamua ife. Yaani kwa watu wengi sasa hivi Dualis wanazipark kwenye swimming pool au ndani ya bwawa la maji.
Maana watu wanakwambia at any tea time inaweza jitia kiberiti ikawaka moto ina hasira kama wahehe. Sasa watu wakipark wanahakikisha ni karibu na maji au wanaenda park pale kariakoo fire. Usije ukanunua hayo magari ni kichefu chefu sana.
Na kama upo parking usiparki gari yako karibu na Dualis. Usije ukaja lia hapo baadaye. Inaweza ikakaa tu ikakumbuka ulishawahi ipitisha rough road. Ikafura hasira ikawaka moto na kuunguza yako.
Mimi barabarani nakaa mbali sana na Dualis. Huwa nahakikisha kuna magari kadhaa katikati yetu kabla ya kuifikia Dualis. Nikiona inakuja speed nasogea pembeni kuipisha... Hazitaki kero zile gari. Inaweza kuja kushika moto ipo karibu na wewe.
Vibaya sanaaaaaaaaaAisee..
Kwa hiyo Passo na Dualis vimeo!
Heading kubwa, content sifuri, yan umeandika matakataka, Mijitu mingine ni ya kuzaba vibao, faken kabisa. kanyeeeeeeenyee nyeeeee nyeeeee ndo nini? nenda ukanye pumba zako hukoNimekuja mkoa flani kikazi nilitumia usafiri wa ndege. Huku kuna jamaa yangu akaniambia kwa kuwa akija Dar huwa nampatia usafiri nitumie gari ndogo ambayo huwa anatumia mkewe. Niende kwake nikachukue. Nikaenda.
Nimefika nikakaribishwa ndani n.k nikamwambia shemeji nimeambiwa nije chukua gari. Akasema Yes anazo taarifa. Akanipa funguo nichukue gari nje. But kutoka nje sioni gari. Naona Passo tu imepark. Nikarudi kuuliza gari ipo wapi. Akaniambia hiyo hapo Passo. Daaah... Nikashtuka nikawaza basi ni mtie moyo shemeji yangu nikachukua nikaenda zangu Hotel. Nlipark
Passo vigari vina kisirani sana unaweza ukakaa hivi kakajiwasha. Unasikia tu kanyenyeee nyeeee kanyeeee nyeeeeeeeee vrruuuuum..... Halafu kanaendelea kunguruma. Basi unaenda una kazima. Ukiwa unarudi kukaa kanajiwasha tena. Yaani ili mradi kakukere tu.
Wakati mwingine upo barabarani kanasusa kanazima. For no apparent reason. Ukikawasha kanatetemeka kama kana degedege. Yaani ni shida tu kwa kweli.
Nikakumbuka Dualis hizi gari tunaziita Mnyalu. Zina hasira kinoma. Yaani kama wahehe tu. Unaweza ukapark nje ukakuta kamejitia moto. Unashangaa why? Basi tu ndo imeshaamua ife. Yaani kwa watu wengi sasa hivi Dualis wanazipark kwenye swimming pool au ndani ya bwawa la maji.
Maana watu wanakwambia at any tea time inaweza jitia kiberiti ikawaka moto ina hasira kama wahehe. Sasa watu wakipark wanahakikisha ni karibu na maji au wanaenda park pale kariakoo fire. Usije ukanunua hayo magari ni kichefu chefu sana.
Na kama upo parking usiparki gari yako karibu na Dualis. Usije ukaja lia hapo baadaye. Inaweza ikakaa tu ikakumbuka ulishawahi ipitisha rough road. Ikafura hasira ikawaka moto na kuunguza yako.
Mimi barabarani nakaa mbali sana na Dualis. Huwa nahakikisha kuna magari kadhaa katikati yetu kabla ya kuifikia Dualis. Nikiona inakuja speed nasogea pembeni kuipisha... Hazitaki kero zile gari. Inaweza kuja kushika moto ipo karibu na wewe.
Nimekunya nawe umekula ukashiba ndo maana sasa unatoa gesi tu hapaHeading kubwa, content sifuri, yan umeandika matakataka, Mijitu mingine ni ya kuzaba vibao, faken kabisa. kanyeeeeeeenyee nyeeeee nyeeeee ndo nini? nenda ukanye pumba zako huko
Nlipokuwa nasoma huu Uzi nkasema huyu mzima kweli, nikarudi kusoma Jina nikaona Jina linasadifu yaliyomoNimekuja mkoa flani kikazi nilitumia usafiri wa ndege. Huku kuna jamaa yangu akaniambia kwa kuwa akija Dar huwa nampatia usafiri nitumie gari ndogo ambayo huwa anatumia mkewe. Niende kwake nikachukue. Nikaenda.
Nimefika nikakaribishwa ndani n.k nikamwambia shemeji nimeambiwa nije chukua gari. Akasema Yes anazo taarifa. Akanipa funguo nichukue gari nje. But kutoka nje sioni gari. Naona Passo tu imepark. Nikarudi kuuliza gari ipo wapi. Akaniambia hiyo hapo Passo. Daaah... Nikashtuka nikawaza basi ni mtie moyo shemeji yangu nikachukua nikaenda zangu Hotel. Nlipark
Passo vigari vina kisirani sana unaweza ukakaa hivi kakajiwasha. Unasikia tu kanyenyeee nyeeee kanyeeee nyeeeeeeeee vrruuuuum..... Halafu kanaendelea kunguruma. Basi unaenda una kazima. Ukiwa unarudi kukaa kanajiwasha tena. Yaani ili mradi kakukere tu.
Wakati mwingine upo barabarani kanasusa kanazima. For no apparent reason. Ukikawasha kanatetemeka kama kana degedege. Yaani ni shida tu kwa kweli.
Nikakumbuka Dualis hizi gari tunaziita Mnyalu. Zina hasira kinoma. Yaani kama wahehe tu. Unaweza ukapark nje ukakuta kamejitia moto. Unashangaa why? Basi tu ndo imeshaamua ife. Yaani kwa watu wengi sasa hivi Dualis wanazipark kwenye swimming pool au ndani ya bwawa la maji.
Maana watu wanakwambia at any tea time inaweza jitia kiberiti ikawaka moto ina hasira kama wahehe. Sasa watu wakipark wanahakikisha ni karibu na maji au wanaenda park pale kariakoo fire. Usije ukanunua hayo magari ni kichefu chefu sana.
Na kama upo parking usiparki gari yako karibu na Dualis. Usije ukaja lia hapo baadaye. Inaweza ikakaa tu ikakumbuka ulishawahi ipitisha rough road. Ikafura hasira ikawaka moto na kuunguza yako.
Mimi barabarani nakaa mbali sana na Dualis. Huwa nahakikisha kuna magari kadhaa katikati yetu kabla ya kuifikia Dualis. Nikiona inakuja speed nasogea pembeni kuipisha... Hazitaki kero zile gari. Inaweza kuja kushika moto ipo karibu na wewe.
Ukute mleta mada hiyo Passo anaiota miaka nenda rudi na ndoto yake bado haitimii!Kuna jamaa yangu ana Passo aliinunua simce 2013 au 2014 hivi...
Nimekuja mkoa flani kikazi nilitumia usafiri wa ndege. Huku kuna jamaa yangu akaniambia kwa kuwa akija Dar huwa nampatia usafiri nitumie gari ndogo ambayo huwa anatumia mkewe. Niende kwake nikachukue. Nikaenda.
Nimefika nikakaribishwa ndani n.k nikamwambia shemeji nimeambiwa nije chukua gari. Akasema Yes anazo taarifa. Akanipa funguo nichukue gari nje. But kutoka nje sioni gari. Naona Passo tu imepark. Nikarudi kuuliza gari ipo wapi. Akaniambia hiyo hapo Passo. Daaah... Nikashtuka nikawaza basi ni mtie moyo shemeji yangu nikachukua nikaenda zangu Hotel. Nlipark
Passo vigari vina kisirani sana unaweza ukakaa hivi kakajiwasha. Unasikia tu kanyenyeee nyeeee kanyeeee nyeeeeeeeee vrruuuuum..... Halafu kanaendelea kunguruma. Basi unaenda una kazima. Ukiwa unarudi kukaa kanajiwasha tena. Yaani ili mradi kakukere tu.
Wakati mwingine upo barabarani kanasusa kanazima. For no apparent reason. Ukikawasha kanatetemeka kama kana degedege. Yaani ni shida tu kwa kweli.
Nikakumbuka Dualis hizi gari tunaziita Mnyalu. Zina hasira kinoma. Yaani kama wahehe tu. Unaweza ukapark nje ukakuta kamejitia moto. Unashangaa why? Basi tu ndo imeshaamua ife. Yaani kwa watu wengi sasa hivi Dualis wanazipark kwenye swimming pool au ndani ya bwawa la maji.
Maana watu wanakwambia at any tea time inaweza jitia kiberiti ikawaka moto ina hasira kama wahehe. Sasa watu wakipark wanahakikisha ni karibu na maji au wanaenda park pale kariakoo fire. Usije ukanunua hayo magari ni kichefu chefu sana.
Na kama upo parking usiparki gari yako karibu na Dualis. Usije ukaja lia hapo baadaye. Inaweza ikakaa tu ikakumbuka ulishawahi ipitisha rough road. Ikafura hasira ikawaka moto na kuunguza yako.
Mimi barabarani nakaa mbali sana na Dualis. Huwa nahakikisha kuna magari kadhaa katikati yetu kabla ya kuifikia Dualis. Nikiona inakuja speed nasogea pembeni kuipisha... Hazitaki kero zile gari. Inaweza kuja kushika moto ipo karibu na wewe.
Kuna moja iliwaka pale JNIA Airport naiona yaaniNimeviambia vijamaa flani vimekuja juu kweli. Dualis ni kisirani. Kama una hakikisha unalipark kwenye maji au karibu na zimamoto.