The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Kwenye lugha ya Kiswahili hakuna neno Mi kuna neno MimiKua❌
Kuwa✅
Mi nikishaona tu mtu hajui kutofautisha maneno mepesi kama hayo naona hapa hamna mwanamke na mawasiliano nakata. Maana utanichosha kukuelekeza.
1. Ufike wakati Wakristo tuwe na akili, si kila mtu anamwamini Kristo hivyo weka taarifa sahihi na u verify account yako auSijawahi ingia mitini ndugu yangu na haitatokea kwa jina la YESU KRISTO
Mtu mwenyewe unaishi kwenye mashimo huko,akili utazitoa wapi?You need to learn a little bit young lady. Keep on vomitting....🤣 Toa povu loooote....i hope now umechuchumaa... Go on....
You need to learn a little bit young lady. Keep on vomitting....🤣 Toa povu loooote....i hope now umechuchumaa... Go on....Mtu mwenyewe unaishi kwenye mashimo huko,akili utazitoa wapi?
Natafuta dawa kwa ajili ya Nge na Tandu
Naombeni msaada wa dawa kwa jili ya kuua tandu na nge. ni mara kadhaa nimekuwa nikiwaona tandu hapa ninapoishi natafuta dawa ya kudumu ambayo itaua wote ndani. ni nyumba ya vyumba vinne so inahitajika dawa ya ukweli hasa kuweza malizana na hawa wadudu. Maana kwa sasa nakosa amani kabisa hasa...www.jamiiforums.com
Kwisha habari yako,You need to learn a little bit young lady. Keep on vomitting....🤣 Toa povu loooote....i hope now umechuchumaa... Go on....
You need to learn a little bit young lady. Keep on vomitting....🤣 Toa povu loooote....i hope now umechuchumaa... Go on..Kwisha habari yako,
Nilijua tu usingemaliza hata dakika 10 kwangu,endelea tu ku copy na kupaste,
Siku nyingine hutavamia tena watu hovyo,tumia na ile id yako ya Chizi maa...fa.
You need to learn a little bit young lady. Keep on vomitting....🤣 Toa povu loooote....i hope now umechuchumaa... Go on.. leo utataja malejendari wote....🤣Kwisha habari yako,
Nilijua tu usingemaliza hata dakika 10 kwangu,endelea tu ku copy na kupaste,
Siku nyingine hutavamia tena watu hovyo,tumia na ile id yako ya Chizi maa...fa.
Tuma kwa namba hii wamekuja kwa kasi sana January hii.Ondoa mashaka mama ndo maana nimeweka namba yangu hapo
Laiti ungejua uaminifu wangu
Hawaga huwaga siyo wezi hawa huwa ni mawingaHii unaongea tu, huwezi fanya biashara kienyeji Kama vile ni ndugu zako wanakutuma. Mbona mie hutaki kunitumia mzigo na hutodhulumiwa unacheza na akili za watu ili uonekane, watu wanakupa challenge za kukusaidia ukue
Duh una ugomvi nae niniDogo nitumie mzigo basi mie ni muaminifu mbona wengi mno wameshanitumiaga mzigo na ukifika ndio nalipa hela, mie sidhulumu mtu.
Ama niweke namba yangu hapa ili uzidi kuniamini.
Mie kwanza naogopa kutenda dhambi
Mumeanza lini kupangia watu matumizi ya jina la YESU KRISTO1. Ufike wakati Wakristo tuwe na akili, si kila mtu anamwamini Kristo hivyo weka taarifa sahihi na u verify account yako au
2. Weka anwani yako au biashara yako hapo utaaminika.
3. Watu wamelizwa sana hivyo hawahitaji maneno matupu kwani hayo walishaambiwa na wakapigwa.
LeoM
Mumeanza lini kupangia watu matumizi ya jina la YESU KRISTO
Wazo lako zuri sanaNa yeye Ataweka namba yake kwani shida ni namba yu, namie Kuna ishu nahitaji uninunulie nikipata tu Niko Mwanza nakutumia hela,niamini na Mimi ni mwaminifu mno sijawahi kudhulumu
Asante sana kumbe wewe unajua kakHuyo ni winga,office rasmi bado itakua!!
Sasa laki moja kaka ndo unaogopa kuibiwa? Laki moja si ni pesa ambayo hata mtu akiangusha mbele yako unamshitua aokote pesa yakeUnatumia hela yako kwani huniamini Sasa , ama niweke namba yangu hapo. Nahitaji hapo mzigo ambao hauzidi laki moja
Asante sana bro MUNGU MWENYEZI AKUBARIKI SANAPambana na uzidi kuwa muaminifu
Nina kijana mmoja nilitambulishwa ni muaminifu sana, amejenga jina lake na kulikuza
Nimemtumia sana sana
Anatia huruma maana wanaomtumia wengine hawampi cha ziada
Wamemfanya kama ndugu yao
Ila na wewe uwe muwazi kwa bidhaa unazotumwa kwa bei zake
Ukipandisha cha juu ipo siku utaumbuka tu maana wafanyabiashara wanapeana habari
Weka bayana kila kitu
Mzigo kiasi fulani, usafiri kiasi fulani na wewe unakula ngapi simple