Usije Dar Es Salaam niagize hasa hasa soko Posta na Kariakoo, kwa uaminifu mkubwa sana

Usije Dar Es Salaam niagize hasa hasa soko Posta na Kariakoo, kwa uaminifu mkubwa sana

Natanguliza shukran zangu kwenu

Kama una kitu unataka kununua kutoka dar na kukisafitisha bas niagize usiogope , tutafanya kazi hiyo kwa uaminifu mkubwa sana

Kikubwa tu tupendane
Nashughulikia kila aina ya jambo na kila aina ya bidhaa, hasa hasa soko la posta na kariakoo

Pia na kwa wale wanaohitaji marobota au baroo za mtumba viatu na nguo na mikoba

NATEMBEZA PIA WATU AMBAO NI WAGENI HAPA DAR ES SALAAM MAENEO TOFAUTI, kwahiyo ukija dar usiogope sana

Kama unahitaji passport au unahitaji vizza nitakupeleka upate kwa wepesi au kama unasafilisha mzigo wako au kama Kuna mzigo wako umekwama tuwasiliane tusaidiane

Namba yangu ya cm 0621121351

Asantani sana
Natafuta tablet za atouch zinapatikana kwa bei gani?
 
I'm impressed a lot of people are Joining this kind of business.
The competition is getting intense.
Welcome to the party!
 
Kuna siku tutakutana tu sisi siyo milima lazima nikuchape mangumi ya uhakika

Alafu jitaidi kupunguza shobo wewe dada
Wewe kenge ungekua karibu yangu wala usingefungua hilo domo,naona kila ukiwekewa bando na mumeo,kitu cha kwanza unakuja kuquote comment yangu,

Tambaa mbele wewe acha shobo.
 
Usifanye kazi kiuni tafuta fremu....tafuta TIN na leseni kama itawezekana...ndo uanze biashara,namaanisha uwe na upeo mpana wa biashara yako sku zijazo...
 
Wewe kenge ungekua karibu yangu wala usingefungua hilo domo,naona kila ukiwekewa bando na mumeo,kitu cha kwanza unakuja kuquote comment yangu,

Tambaa mbele wewe acha shobo.
Acha kuandika kike kike we binti

Acha kubania pua wanaume we mwajuma
 
Back
Top Bottom