Usije kuoa kwa kuangalia uzuri wa mwanamke, utajuta sana

mbona kama unaongea mwenyewe mkuu
 
Kwani ndo unajua leo kuwa ule uzuri wa mwanamke ni pale kuwa hujampata tu ukishamala mara mbili tatu anakuwa ni wakawaida mnoo.

na mke ndo ivo ivo anakuwa mzur pale ikiwa hujamuoa tu ukishamua na kumueka ndani unamuona wa kawaida mnooo.
 
Church boy/good buy/nice guy ndio wanao ingiaga huo mkenge wa kuoa wenye mionekano mizuri,ila bad guy au ile miamba mihuni wanajua sana kupoint na hawa angaliagi uzuri kwenye swala la kuoa,unaweza kuta mwamba kagonga pisi kali nyingi za kutosha, ila akituliza kichwa anakuja kuoa mwanamke mwenye mwonekano wa kawaida mpaka unashangaa.

Kuna mabroo wangu enzi zao walikuwa wanawapanga tena pisi za ukweli,ila walivyo kuja kuoea naweza sema 80% walioa wanawake wa kawaida mno.
 



Brooo ni wewe umeoa au umeolewa???? Mbona kama sio mwanaume???

Na unaonekana unajua kupenda kweri kweriii we kama sio msukuma lazma ni mgosi.

Nampa mkeo wiki moja ajirekebishe, tofauti na hapo njoo pm 😎
 
Pole kwa yaliyokukuta

KATAA NDOA
 
Hahaaa. . Pole braza anakuendesha sana kwa Engine ya pussy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…