Ubena Zomozi
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,608
- 1,286
Siyo kweli. Wengi wao ni viumbe wapole, wenye roho njema, wakarimu na wasio na makuu. Vimtu vyenye Ph.D za viburi na makasirikio yasiyo hata na sababu ni hivyo vimbaumbau na vifulati skrini vyenu. Makalio yasisingiziwe please!
View attachment 3009801
Hao wa hivyo ni wa shoo za nje tu utakufa kwa stress mkuu.Unaweza kulala kitandani, ukamuona mtoto anang’aa, shape imejilaza ila hata kumgusa unashindwa, au hutamani kwa maudhi anayokupa.
Yani utaambulia sifa za watu tu kua mke wako mzuri ila wewe hufaidiki wala huna amani.
Yani umelala na mke wako kitanda kimoja, unamtani ula humpati. Kama hujaoa unaweza usiamini ila ndo hivyo.
Pia kuna wanawake ni kama wanakipaji cha kumkasirisha mtu, yani mtu anakuudhi hadi point ya mwisho.
Anatakiwa amnawe tu mazee
Unaweza kulala kitandani, ukamuona mtoto anang’aa, shape imejilaza ila hata kumgusa unashindwa, au hutamani kwa maudhi anayokupa.
Yani utaambulia sifa za watu tu kua mke wako mzuri ila wewe hufaidiki wala huna amani.
Yani umelala na mke wako kitanda kimoja, unamtani ula humpati. Kama hujaoa unaweza usiamini ila ndo hivyo.
Pia kuna wanawake ni kama wanakipaji cha kumkasirisha mtu, yani mtu anakuudhi hadi point ya mwisho.
Aweke picha na number apewe miongozo...
Weee hakuna kuchukua namba lo😒Aweke picha na number apewe miongozo...
[emoji23][emoji23]Nilishasema.
Oa mwanamke atakayekuheshimu siku zote za maisha yako. Kumbuka kila mwanamke ana sehemu za Siri, hata awe na sura mbaya au flat screen.
Mpaka itoe vumbiDawa ya mke msumbufu ni kumpiga juju tu[emoji16]
🤣🤣🤣🤣 aloooHalafu ujue Ile mitako mikubwa Ni mavi tu ndio yamejaa mle.
Mahi shikilia hapo hapo 😂s mnaoa ili muweze kuwatambulisha marafiki zenu mmeoa pisi ya kwenda matokeo yake ni vitu vizito, kunae mmoja aliambiwa mbele ya marafiki zake wakiambiwa wanaume watoke mbele na wewe utatoka, kwanza ukiniacha leo sikosi wakuniokota
Tena ukomeMke wangu anajiona mzuri sana halafu kumbe wa kawaida
Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza. Ipo siku nitampatia huu ujumbe live ajue kua na aache kuniletea maringowww.jamiiforums.com
Mwandani wangu hajivunii kua na mimi, ni kama anaona sio type yake
Ni mengi yanapita kwenye huu uhusiano, najitahidi kufanya kazi kwa bidii kuimprove standard lakini mwandani wangu ni kama kwake ni tofauti. Mara nyingi kwenye mikusanyiko ya umma ni kama anaona aibu kua mimi ni mume wake, simply kwa sababu naonekana wa kawaida. Tukiwa ndani hakuna shida ila...www.jamiiforums.com
Brooo ni wewe umeoa au umeolewa???? Mbona kama sio mwanaume???
Na unaonekana unajua kupenda kweri kweriii we kama sio msukuma lazma ni mgosi.
Nampa mkeo wiki moja ajirekebishe, tofauti na hapo njoo pm 😎
Af nyie wapambe nuksi ndo mnaharibh, jamaa akisikia haya utakua umamharibia aman yake kabisaKuna jamaa yangu kaowa ki dada hicho ni balaa
Kibovuu
Kibayaa
Yan dah😂