Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
TBS wanazingatia ubora wa bidhaa zinazotumika Nchini kwa kuwasiliana na TCRA kwenye maswala ya Simu...TBS wameanza kukopesha lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TBS wanazingatia ubora wa bidhaa zinazotumika Nchini kwa kuwasiliana na TCRA kwenye maswala ya Simu...TBS wameanza kukopesha lini?
Wanaangalia time value for money.hutaki unaacha tuWanazingua wakat kesh ni 400k
Hujui siku hizi biashara hufanyika kwenye simu mkuu?Bora mikopo ya ujasiriamali, sio hii ya simu huna unachoingiza then ukope daah
A14mkuu wewe ulichukua aina gani? Maana kuna watu nawafahamu waliochukua za mkopo huwa wanapewa MB kama ifuatavyo;
1. samsung A04 - Anapata MB 100 kila akilipa deni la TZS 1000 (tigo)
2. Samsung A04S - anachukua MB 200 kila akilipa mkopo (tigo).
3. Samsung A04e anapata GB 1.5 kila akilipa mkopo wa TZS 8100. Huyu malipo yake anafanya kwa wiki, hizo GB anapewa za kutumia kwa siku 3. Mtandao ni airtel.
Ndio kwani hujuiHawa jamaa sio wazuri sumsung A03 sijui A14 hahaha et kwa siku 2000 kuanzio 50k.
Kwa mwaka inakuja kama laki 7 na elf 70.
No huu ni unyonyaji.
kibubuu?Siku hizi tunapenda sana kitonga, ni kweli tumesahau kabisa kusave mia mia kwenye kibubu?!
Kumbe mmefika huko? Mnatengeneza na chuma ulete?kibubuu?
ooh! You can't be serious! Wanatupiamo na mauzauza humo unaweza weka 500 kila siku ukija vunja kibubu utaambulia 1500 tuu!
Kwani unapokopa benki unajua unarudisha shilingi ngapi? Yaleyale tuHawa jamaa sio wazuri sumsung A03 sijui A14 hahaha et kwa siku 2000 kuanzio 50k.
Kwa mwaka inakuja kama laki 7 na elf 70.
No huu ni unyonyaji.
Tatizo la wabongo tunapenda sana mikopo hata bila kufanya uchambuzi wa kina na ili kujiridhisha kama mkopo huu utanifaa au la.Mikopo ya aina nyingi huwa haiko fair
Sio simu tu
Ndo maana ni muhimu kufanya jambo kwa malengo. Wewe kinachokufanga ukope simu janja nini? Je unataka kuitumia kukuongizia kipato au kwa mawasiliano tu ya kawaida? Tusifanye mambo kichwa kichwaBora mikopo ya ujasiriamali, sio hii ya simu huna unachoingiza then ukope daah
Kumbuka unakaa ba ela yake mwaka mzima, na wabongo hakawii kubadili imei number. Risk ni kubwa lazima return iwe kubwa sawa na kuuza madawaKilo 3 faida
Umedanganya bei ya kununua simu kwa mkopo na kwa cash ni vitu viwili tofautiKila mtu anapita njia zake ili afikie pale yalipowekwa matamanio yake..... Mwingine ili aweze kupata hiyo simu ni lazima akope na mwingine si lazima kukopa..... Nimeenda dukani nikakuta simu inauzwa 550,000. Nikaambiwa nilipe 250,000/ cash alafu laki 300000 nitailipa taratibu nichague ni muda gani kwa mwaka mmoja, kwa haraka nikachagua miezi 5, hiyo pesa kila mwezi nitarejesha 63,000. Na jumla nitakuwa nimerejesha 315,000. Hivyo simu nitakuwa nimeinunua 565,000 badala ya 550,000/= hapo mimi km mkopaji nina hasara gani? Vijana tumieni akili! Mikopo ipo kusaidia wenye akili na mikopo ipo kwa ajili ya kuumiza wasiokuwa na akili. Km una akili hiyo laki 3 inayokuwa imesalia mikononi mwako unaweza kuwa unazalisha kitu kingine na deni unalivua taratibu alafu umepata simu yaani hitaji la moyo wako.