Usijidanganye ati hukumu ya kunyongwa hadi kufa Huwa haitekelezwi Tanzania

Itakuwa tayari
Bageni yupo ona sasa unakisia. Bageni yupo, na last week rufani yake ilitajwa kwamba inawezekana akarudi tena mahakamani soon. Kupambania kufutiwa kunyongwa. Na yupo gereza la ukonga hadi sasa.
 
Nani alihukumiwa kunyongwa na hakunyongwa?
 
Ku
Kuna wader mmoja aliwahi kuchizi Rans copro wa Magereza alipewa kitengo hicho zamani ilikuwa mkimaliza Course mnapangiwa vitengo saiv wakimaliza wanachaguliwa Baazi wanaenda kozi ya Kunyonga ni hatari.....
 
Nyuma ya gereza la isanga kuna makaburi ya wafungwa walio nyongwaga kitambo, ila hakuna makaburi mapya sijui wanazikia wapo sikuizi kama kwel bado wananyonga.
 
Nyuma ya gereza la isanga kuna makaburi ya wafungwa walio nyongwaga kitambo, ila hakuna makaburi mapya sijui wanazikia wapo sikuizi kama kwel bado wananyonga.
Anakupanga huyo, hawanyongi bila raisi kusaini hati ya hao wafungwa kutiwa kitanzi.
Sasa wewe hata ushahidi wa makaburi umeona bado unaamini uzi wa jamaa, namna gani we kijana.
 
Anakupanga huyo, hawanyongi bila raisi kusaini hati ya hao wafungwa kutiwa kitanzi.
Sasa wewe hata ushahidi wa makaburi umeona bado unaamini uzi wa jamaa, namna gani we kijana.
Mkuu usijidanganye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…