Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii pole ni kwako zaidi...Pole sana
AsantePole sana
Bageni yupo ona sasa unakisia. Bageni yupo, na last week rufani yake ilitajwa kwamba inawezekana akarudi tena mahakamani soon. Kupambania kufutiwa kunyongwa. Na yupo gereza la ukonga hadi sasa.Itakuwa tayari
unashadidia kama vile wewe ndiyo unapeleka kwa raisi hizo nyaraka wanazotakiwa wao kusaini kwa ajili ya kunyongwa.Sio kweli
Nani alihukumiwa kunyongwa na hakunyongwa?unashadidia kama vile wewe ndiyo unapeleka kwa raisi hizo nyaraka wanazotakiwa wao kusaini kwa ajili ya kunyongwa.
Tupe mifano basi kama fulani na fulani walinyongwa baada ya kupewa hukumu hiyo.
Mbona inaeleweka kabisa kama Saidi Mwamwindi alinyongwa?
Kuna wader mmoja aliwahi kuchizi Rans copro wa Magereza alipewa kitengo hicho zamani ilikuwa mkimaliza Course mnapangiwa vitengo saiv wakimaliza wanachaguliwa Baazi wanaenda kozi ya Kunyonga ni hatari.....Nimeona baadhi ya wadau wakitoa maoni ati Kwa Hapa nyumbani TANZANIA hukumu ya kunyongwa hadi kufa Huwa haipo.
Kwamba ipo kwenye makaratasi ya hukumu tu
Wanasiasa wanawadanganya ati hawawezi kusaini hati ya kunyonga😅😃 yaani mwanasiasa anayemuuwa mpinzani, mpiga kelele tu aone huruma kusaini kuuwa mtu mhaini, gaidi, muuaji n.k Huwa wanasaini na waharifu hunyongwa tu
Ni hivi hukumu ya kunyongwa hadi kufa huwa inatekelezwa vizuri tu
Waliohukumiwa Huwa wananyongwa, usijidanganye eti itafanya uhalifu upate hukumu hii halafu mbadala kiwe kifungo cha maisha
Mtu akihukumiwa kifo, Huwa anapewa wasaa wa kukata rufaa na rufaa ikishinda adhabu hii Huwa inatekelezwa
Waliohukumiwa adhabu ya kifo huitwa vipusa huko gerezani, na hukaa selo bila kutoka nje hata kuota jua, chakula na huduma nyingine huwa zinawakuta humo
Gereza maarufu la kunyongea ni Isanga Dodoma, wafungwa waliokutwa na hatia husafishwa hadi Isanga Dodoma na kunyongwa
Askari walio ajiriwa kutimiza wajibu huu wapo na Huwa kazi Yao ya kunyonga wanaifanya vizuri
Kuweni makini epukeni jinai mbaya kama uhaini, ugaidi, murder case, ukatili n.k ili uepuke adhabu hii mbaya
Sio kila kitu utaambiwa bayana
Anakupanga huyo, hawanyongi bila raisi kusaini hati ya hao wafungwa kutiwa kitanzi.Nyuma ya gereza la isanga kuna makaburi ya wafungwa walio nyongwaga kitambo, ila hakuna makaburi mapya sijui wanazikia wapo sikuizi kama kwel bado wananyonga.
Sijidanganyi wewe ndio unatudanganyaMkuu usijidanganye
Una data za lini na lini imetekelezwa??A
Adhabu hii haitekelezwi mara Kwa mara ila amini mara chache hizo Kuna baadhi ya wahalifu hunyongwa