kila siku na ahadi zako....tukifika kilele cha Kibo mie basi nitakua nimeridhika
We nawe wamo eenaa kweli shostito wangu NTERNTIONAL MECHI tena LEUGUE ooooh UEFA Lazima sheria 17 sifuatwe pale ndo kila kitu
Anhaaaaa sasa nmefurahi kugundua kua wanafunzi wenzangu mpo hapa naomba Bantu lady pa1 na Sungura wote tukutane katika darasa 1 tusome kwa pa1 kwani nyie hamtaki namie nfaulu kama nyie....??
Ni kweli Sweet maana kila siku malalamiko hayaishi hoo sifikishwi sifikishwi!Nishawaambia kila mtu aje na mpenzi wake tuwape shule!Nimekula honey,kimvua kinanyesha basi natamani nitoroke kazini nirudi nyumbani,tufanye rehesall jinsi tutakavyokuwa tunawafundisha wanafunzi!
Dear mapenzi ni ya wawili, ni lazima utamjua tabia mpenzi wako. Huwezi mmemaliza tu ukaanza kumwambia hata sijaridhika hapana.
Mnaweza anza weka utaratibu wa kuongea mnachopenda na msivyopenda wakati wa sex. Kama kweli mnapendana kwa dhati hamuwezi endelea kuact, labda km mtu yuko kimaslahi tu.
jamani wewe kizuri kula na nduguyo pitia kwangu nione maujanja yako ndo uende kwa bi mkubwaha ha ha haaaa
mhhhhhhhh tatizo wanaume wengi hawapendi kuambiwa udhaifu wao wanapenda kuonekana mashujaa tu
Basi huyo anayependa kuonekana shujaa, hutakiwi kumwambia kwa mdomo mfanyie kwa vitendo kama muelewa ataelewa tu.
Pia unaweza jifanya kumuuliza anapenda nini umfanyie nawewe unachomekea vyako.
Umeonaee hubby wangu, sisi tutafanya kwa vitendo wanafunzi watafuatisha tunachofundisha.
Umekula lakini honey? luv u.
mhhhhhhh Bantu lady leo umegeuka kungwi eeeeh vitendo kama vipi nahitaji na mifano tafwazali
duhhhhhhhhh kwa hiyo wanafunzi watasoma pair moja moja au wote wanajiachia ukumbini
Unamchana makavu laivu
Wote ukumbini yaani tunajaa hapo kama yoga wanavyokuwa wanajazana hahahaaa.
Si ndio darasa litanoga kuliko pair.
Tutajua darasa laanza lini nikitoka kanisani.
Hahh,tutake radhi mkuu vitamin C,sisi sio wanafunzi!Sisi ndio hao wakufunzi,mtu na mkewe! Bantu lady ndiye mama watoto wangu,ua langu,malkia wangu,pambo langu la nyumba!