Usijifiche kama hujaridhika mweleze mpenzi wako "awajibike"

Usijifiche kama hujaridhika mweleze mpenzi wako "awajibike"

kila siku na ahadi zako....tukifika kilele cha Kibo mie basi nitakua nimeridhika

Mie hupendelea kukufikia mawenzi, lol..
ila nasikia ati tiwasikilize wenzetu wanataka kupitia wapi hadi wafike huko. Ile ahadi yangu bado ninayo, nitakuja...nipe physical and postal address yako nisijepotea.
 
Anhaaaaa sasa nmefurahi kugundua kua wanafunzi wenzangu mpo hapa naomba Bantu lady pa1 na Sungura wote tukutane katika darasa 1 tusome kwa pa1 kwani nyie hamtaki namie nfaulu kama nyie....??

Hahh,tutake radhi mkuu vitamin C,sisi sio wanafunzi!Sisi ndio hao wakufunzi,mtu na mkewe! Bantu lady ndiye mama watoto wangu,ua langu,malkia wangu,pambo langu la nyumba!
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli Sweet maana kila siku malalamiko hayaishi hoo sifikishwi sifikishwi!Nishawaambia kila mtu aje na mpenzi wake tuwape shule!Nimekula honey,kimvua kinanyesha basi natamani nitoroke kazini nirudi nyumbani,tufanye rehesall jinsi tutakavyokuwa tunawafundisha wanafunzi!

jamani wewe kizuri kula na nduguyo pitia kwangu nione maujanja yako ndo uende kwa bi mkubwaha ha ha haaaa
 
Dear mapenzi ni ya wawili, ni lazima utamjua tabia mpenzi wako. Huwezi mmemaliza tu ukaanza kumwambia hata sijaridhika hapana.
Mnaweza anza weka utaratibu wa kuongea mnachopenda na msivyopenda wakati wa sex. Kama kweli mnapendana kwa dhati hamuwezi endelea kuact, labda km mtu yuko kimaslahi tu.

mhhhhhhhh tatizo wanaume wengi hawapendi kuambiwa udhaifu wao wanapenda kuonekana mashujaa tu
 
jamani wewe kizuri kula na nduguyo pitia kwangu nione maujanja yako ndo uende kwa bi mkubwaha ha ha haaaa

Hahahaaa Ichana luv hapa hapa unataka niibia mbele yangu?
Huyu mwanaume atakukoleza hutotaka akuache, utanogewa kabisa.
Katerero hao haahahaaa.
 
mhhhhhhhh tatizo wanaume wengi hawapendi kuambiwa udhaifu wao wanapenda kuonekana mashujaa tu

Basi huyo anayependa kuonekana shujaa, hutakiwi kumwambia kwa mdomo mfanyie kwa vitendo kama muelewa ataelewa tu.
Pia unaweza jifanya kumuuliza anapenda nini umfanyie nawewe unachomekea vyako.
 
Basi huyo anayependa kuonekana shujaa, hutakiwi kumwambia kwa mdomo mfanyie kwa vitendo kama muelewa ataelewa tu.
Pia unaweza jifanya kumuuliza anapenda nini umfanyie nawewe unachomekea vyako.

mhhhhhhh Bantu lady leo umegeuka kungwi eeeeh vitendo kama vipi nahitaji na mifano tafwazali
 
Last edited by a moderator:
bora mie mechi zangu nachezea viwanja vya nyasi bandia na zote huwa ni michepuko tu
 
Umeonaee hubby wangu, sisi tutafanya kwa vitendo wanafunzi watafuatisha tunachofundisha.
Umekula lakini honey? luv u.

duhhhhhhhhh kwa hiyo wanafunzi watasoma pair moja moja au wote wanajiachia ukumbini
 
mhhhhhhh Bantu lady leo umegeuka kungwi eeeeh vitendo kama vipi nahitaji na mifano tafwazali

Hahahahaaa najaribu kidogo kile nachofanya ama kuelewa luv.
wakati wa mechi kila mtu huwa wanaanza kivyao, sasa ndio inategemea hapo ndio pakumfanya afanye wewe utakavyo.
 
Last edited by a moderator:
[Isome yote]
Mara nyingi uhusiano wa kimapenzi kwa watu wengi unafikia kikomo, kutokana na kutoelezana ukweli.

Haya mambo ya kuficha kama umeridhika katika kugegedana, ndio watu hutafuta majenereta ya kuwatosheleza.

Usione aibu shughuli haikuwa kiwango mwambie ili ajue alikosea wapi, asirudie tena.

Hii iwe kwa mwanaume ama mwanamke, kaeni mjadili mwenzako anapenda nini na huwa hapendi nini.

Kuna vitu utajipinda kufanya kumbe mwenzako anaona karaha tu, ila mngekuwa mmeyaongea ukajua hapendi usingemfanyia.

Ungefanya yale anayopenda na mkaridhishana, mapenzi ni sanaa so kila mara ni kuendelea kujifunza.
 
duhhhhhhhhh kwa hiyo wanafunzi watasoma pair moja moja au wote wanajiachia ukumbini

Wote ukumbini yaani tunajaa hapo kama yoga wanavyokuwa wanajazana hahahaaa.
Si ndio darasa litanoga kuliko pair.
Tutajua darasa laanza lini nikitoka kanisani.
 
Kuna watu huw ni ma "mr right" wanajiona kila kitu wapo sawa
mtu wa hivi umwambie wa kazi gani? Ni kumuacha tu ili aendelee kuachwa kila siku....
 
Wote ukumbini yaani tunajaa hapo kama yoga wanavyokuwa wanajazana hahahaaa.
Si ndio darasa litanoga kuliko pair.
Tutajua darasa laanza lini nikitoka kanisani.

sawa kungwi ukianza kutoa mafunzo kwa vitendo unijulishe nije na kamera yangu mimi nitakuwa mtazamaji tu
 
Hahh,tutake radhi mkuu vitamin C,sisi sio wanafunzi!Sisi ndio hao wakufunzi,mtu na mkewe! Bantu lady ndiye mama watoto wangu,ua langu,malkia wangu,pambo langu la nyumba!

Kwa kweli mheshimiwa sungura nakutaka radhi na naahidi kutokurudia tena kitendo changu kiovu cha kuwaita wakufunzi wanafunzi wenzangu hakika naamini ntafanya vizuri na ntajituma kwa dhati katika kipindi chote niwapo mafunzoni.... Bantu wakike nakutaka radhi pia...
 
Last edited by a moderator:
Matokeo ya mechi yanajadiliwa uwanjani sio barabarani
 
Back
Top Bottom