Usijifiche kama hujaridhika mweleze mpenzi wako "awajibike"

Kuna watu huw ni ma "mr right" wanajiona kila kitu wapo sawa
mtu wa hivi umwambie wa kazi gani? Ni kumuacha tu ili aendelee kuachwa kila siku....

Kama una mapenzi naye ya dhati unamrekebisha kiutaratibu. Ila kama ni mpita njia unamwacha alivyo, atajifunza mbele ya safari.
 
sawa kungwi ukianza kutoa mafunzo kwa vitendo unijulishe nije na kamera yangu mimi nitakuwa mtazamaji tu

No pic mrembo. Wanafunzi wataogopa kuja sasa, nawewe unakuja na kaka yangu Excel.
 

Mi nimeshakusamehe kabisa, uje tu na my wii.
 
Ukitaka ufaidi ufanye hili

Kila mnapotaka kumegana mmoja awe staring na mwingine awe anafuata maelekezo yastaring tu ili siku hiyo staring afaidi

Siku nyingine staring awe mwingine yaani wewe kama siyo staring ni kufanya kila atakalo staring ili apate utamu zaidi

Yaaani utafurahia hutatamani kutoka nje ya mgegedo huo .
 
kipaumbele changu cha kwanza ni kuhakikisha mupenzi wangu ameridhika...
wanawake wagumu sana kusema yaha masuala sometimes kidume inabidi ujiongeze tu...
 

Hahahahaa hii njia nzuri tu pia.
 
kipaumbele changu cha kwanza ni kuhakikisha mupenzi wangu ameridhika...
wanawake wagumu sana kusema yaha masuala sometimes kidume inabidi ujiongeze tu...

Hongera sana Kalou, taratibu itafika nayeye atakuwa wazi kwako kukwambia.
 

wengine ukiwaambia wanasema mie siwezi fanya hivyo...loh sasa bora utulizane tuu. hakupi katafute kwengine
 
Urizishwe ili iweje ? Hebu rizika mwenyewe bana. Teh teh teh...
 
wengine ukiwaambia wanasema mie siwezi fanya hivyo...loh sasa bora utulizane tuu. hakupi katafute kwengine

Kwanza mpendane kidhati lazima utatamani wewe uridhike na umpendaye aridhike.
Mwingine si kwamba hataki kujifunza ila tatizo labda hajakupenda so anaona tabu kuyafanya. May be yuko kwenye mawindo yote yanawezekana.
 
Mi ukiniambia sijakuridhisha nakuchukuliwa Malay.a ushazoea kupigwa game nyingi maana kuna K nyingine ishakua na sugu hata usugue vipi m/mke bado hatosheki na hapo ushamuandaa.

Mbona wengine unapiga game unajua kabisa huyu ashajipiga mbili saa hizi kwa Kick za kufa mtu unazompa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…