Power of gratitude 🙏🙏 shukran hufungua milango mingi sana kwenye maisha.Apply hizo vitu mbili hapo kwenye maisha yako after a few days utaona maana halisi ya maisha.
Usiji-compare na watu wengine
Ooh mbona fulani ana maisha mazuri,ana gari zuri,ana kazi nzuri,yuko na biashara ya kutisha stop that madness ishi maisha yako shukuru kwa kile ulichonacho.
#StressFreeZone
Yule jamaa ni mpuuzi sana nimeusoma uzi wake.Hapa jf ukiwa hujitambui unaweza kujiona umechelewa sana aisee
Kuna mwamba mmoja katoa uzi huko, kuna demu alikuwa amuoe mlokole,mar ukweni nimewasaidia milioni 15 kulipa deni,mara sijui nimewapa mtaji,na upuuzi mwingi tu
Watu wakasogeza VAR akasomeka uzi flani sijui anataka apate kiwanja cha mkopo alipe kidogo kidogo
Humu ndani ishi kimasta
Sjafundisha watu uvivuAcha kufundisha watu uvivu..!!
Hayo maisha ya kuridhika ndo yametufikisha hapa kama taifa.!.!
Tunatakiwa kujicompare ili tuchukue hatua.
Hawa ndio wanawatia watu uvivu kutoa ushauri, unafikiri ni jambo la kweli kumbe wanatafuta engagement hapa jf, wapuuzi sanaUle uzi ni chai
Kujilinganisha katika namna chanya ya kutaka kufikia wengine kimaendeleo lakini tukiwa tunatembea na uhalisia kwamba sio Kila mtu atakua kama Kila mtu sababu kama binadamu tunaukomo unaotofautiana katika Kila kitu,lakini tusiache kujaribu . lakini ikiwa tutawaangalia wengine kwa kuwatamani na in envious way lazima ulozi, nyapu na mikundu vitahusika na maumivu yatakua makali sanaAcha kufundisha watu uvivu..!!
Hayo maisha ya kuridhika ndo yametufikisha hapa kama taifa.!.!
Tunatakiwa kujicompare ili tuchukue hatua.
Naomba huo uzi mkuuHapa jf ukiwa hujitambui unaweza kujiona umechelewa sana aisee
Kuna mwamba mmoja katoa uzi huko, kuna demu alikuwa amuoe mlokole,mar ukweni nimewasaidia milioni 15 kulipa deni,mara sijui nimewapa mtaji,na upuuzi mwingi tu
Watu wakasogeza VAR akasomeka uzi flani sijui anataka apate kiwanja cha mkopo alipe kidogo kidogo
Humu ndani ishi kimasta
Kujilinganisha na mwingine positively nayo pia ina shida meku?Unatakiwa ujiangalie wewe wa juzi,wa jana na WA leo then ujifanyie evaluation