Next si kuchukua hatua kuanza kuzitafuta ili nilinde status niliyojipa..!! ๐นSjafundisha watu uvivu
Point yangu ni kwamba watu waishi maisha yao halishi.
Let say wewe hapo kujicompare na alico dangote ,mo dewj , mark Zuckerberg,Elon musk eh then what next.
๐๐๐๐Hapa jf ukiwa hujitambui unaweza kujiona umechelewa sana aisee
Kuna mwamba mmoja katoa uzi huko, kuna demu alikuwa amuoe mlokole,mar ukweni nimewasaidia milioni 15 kulipa deni,mara sijui nimewapa mtaji,na upuuzi mwingi tu
Watu wakasogeza VAR akasomeka uzi flani sijui anataka apate kiwanja cha mkopo alipe kidogo kidogo
Humu ndani ishi kimasta
Bitter truth! ๐ฅKijana naona umeanza kukua sasa,
Naunga mkono hoja,
Life is not a race,
Life is a personal journey to be experienced and savored at your own pace rather than a competition or a race against others.
Mimi nimesemea namna chanya..Kujilinganisha katika namna chanya ya kutaka kufikia wengine kimaendeleo lakini tukiwa tunatembea na uhalisia kwamba sio Kila mtu atakua kama Kila mtu sababu kama binadamu tunaukomo unaotofautiana katika Kila kitu,lakini tusiache kujaribu . lakini ikiwa tutawaangalia wengine kwa kuwatamani na in envious way lazima ulozi, nyapu na mikundu vitahusika na maumivu yatakua makali sana
Kwako veterani Lamomy
Unataka kwenda wapi ? ungeanza kum'compare baba yako na Bakhrsa kwanza ..Kama mwanaume achana na hizi habari ya kujilinganisha labda uwe upinde wa wakike.Acha kufundisha watu uvivu..!!
Hayo maisha ya kuridhika ndo yametufikisha hapa kama taifa.!.!
Tunatakiwa kujicompare ili tuchukue hatua.
Leo umeandika kitu chenye akili!Apply hizo vitu mbili hapo kwenye maisha yako after a few days utaona maana halisi ya maisha.
Usiji-compare na watu wengine
Ooh mbona fulani ana maisha mazuri,ana gari zuri,ana kazi nzuri,yuko na biashara ya kutisha stop that madness ishi maisha yako shukuru kwa kile ulichonacho.
#StressFreeZone
Baba yangu ni yeye na mimi ni mimi..!!Unataka kwenda wapi ? ungeanza kum'compare baba yako na Bakhrsa kwanza ..Kama mwanaume achana na hizi habari ya kujilinganisha labda uwe upinde wa wakike.
Naona unalia , mvivu ni baba yako mpaka unailaumu serikali ..Una maisha gani , kazi kuuza makalio , unashindwa kupambana kazi kubwa kulaumu , endelea kuukalia tu na lawama mpaka siku utakuja kunya mavi sio saizi yako .Baba yangu ni yeye na mimi ni mimi..!!
Nyie watanga wavivu wavivu mnashindia khanga muda wote, wengi dstv haina super sport..!! ๐น
Ngoja niucheki halafu nikutagNaomba huo uzi mkuu
Nyie mkamateni huyu anaenda kuvua nguo ๐น๐นNaona unalia , mvivu ni baba yako mpaka unailaumu serikali ..Una maisha gani , kazi kuuza makalio , unashindwa kupambana kazi kubwa kulaumu , endelea kuukalia tu na lawama mpaka siku utakuja kunya mavi sio saizi yako .
Pambana kenge wewe, uza hata kibox manyoya kama mzee wako alishindwa basi acha kulaumu serikali. Fanya kazi acha lawama .
Fanya kazi acha kukariri na lawamaNyie mkamateni huyu anaenda kuvua nguo ๐น๐น
Mbona una mapovu mengi wewe binti wa kitanga?
Hujapigwa vutu leo na basha ako?
Kweli vichaa wengi JF
Haya wewe pale mirembe upo wodi namba ngapi?
Wewe umekurupuka haziko sawa, uwe unapitia comment kwa makini..!!Fanya kazi acha kukariri na lawama