Eunice selin
Senior Member
- Jun 28, 2026
- 109
- 267
Kuna watu wanajitoa kwa asilimia 100, wanatoa muda, upendo, na juhudi zote wakiamini siku moja watathaminiwa. Lakini ukweli ni kwamba si kila anayepokea juhudi zako anazithamini.
Mahusiano mazuri hayahitaji ujipoteze ili ukubalike. Mtu anayekupenda kwa dhati atakuheshimu, atathamini uwepo wako, na hatakufanya ujisikie kama lazima upambane ili upate nafasi kwenye maisha yake.
Je, unakubaliana na hili au unaona mapenzi yanahitaji kuvumilia hadi mwisho?
Naomba mawazo yenu yatakuwa tiba kwa sisi wote.
win-one
aise
@babamtakatifu
Tate Mkuu
Nawakaribishaa wote hao tags ni ambao nmenikaribsha imekuwa rahisi kuwakumbuka