Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Umeeleza kila kitu hapo upendo wa kweli ni zaidi ya kujitoa ili mwenzako awe na furaha tu inatosha hata kama hastahili. Hauthamamnishwi na chochote just ni kuwa na furaha tu kwaajili ya mpenzi wako fullstop.