Eunice selin
Senior Member
- Jun 28, 2026
- 109
- 267
- Thread starter
- #61
Mbn n kawaidaa jmni ama najiamliaa MambooNdio useme "Mwanetu"?
Mbn n kawaidaa jmni ama najiamliaa MambooNdio useme "Mwanetu"?
Njoo wewNenda direct
Mm nimekufa kabisa juu yakoSIWEZI ISHI BILA WEWE.
Kbsaaa yan kukiteguaa imekuwa fumboo
We mdada ulale sasa ukue 🐸 saa7 hii unajibu nyuziKbsaaa yan kukiteguaa imekuwa fumboo
Anzaa ww Au ww ushakuwaaWe mdada ulale sasa ukue 🐸 saa7 hii unajibu nyuzi
Sawa karibu, una miaka mingapi?Sina I’m new here
Mi nacheki game France chama langu siwezi kulalaAnzaa ww Au ww ushakuwaa
Genz🤣Sawa karibu, una miaka mingapi?
Hata mm World Cup naanzaje kulalaMi nacheki game France chama langu siwezi kulala
Chama lako ni ipiHata mm World Cup naanzaje kulala
Hao wamelala saa hii, imekuwaje wewe upo macho? Huwa hawawezi kumudu kuwa macho mpaka saa hiiGenz🤣
TunatofautianaHao wamelala saa hii, imekuwaje wewe upo macho? Huwa hawawezi kumudu kuwa macho mpaka saa hii
PortChama lako ni ipi
Mimi nipo macho kwasababu naangalia mpira, wewe je?Tunatofautiana
Mm piaaMimi nipo macho kwasababu naangalia mpira, wewe je?
Hapo nyumbani sebuleni? Wewe binti na mpira saa hii!Mm piaa
Hamfiki mbali Congo naomba awatoe lolote liwakutePort
Ni familia nzimaHapo nyumbani sebuleni? Wewe binti na mpira saa hii!