Wewe siyo mjukuu wangu ephen_ kweli umekuja na ID mpya?Yaan kutag ni kitu kipyaa Kweli jamaniiš¤£
Lakini hao hao wahenga walisema pia Mtaka cha uvunguni sharti ainame yani kufanikisha jambo lolote lile ni lazima ulipiganie,ujitume.wahenga walisema mvumilivu hula mbivu hao hao wakasema ngoja ngoja huumiza matumbo sasa sijui tushike lipiš©š©
ila mimi siwezi kumaliza nguvu zangu nisipo pendwa
cc The Icebreaker
Shika ile ya Chelewa Chelewa utakuta mwana sio wako¿¿¿wahenga walisema mvumilivu hula mbivu hao hao wakasema ngoja ngoja huumiza matumbo sasa sijui tushike lipiš©š©
ila mimi siwezi kumaliza nguvu zangu nisipo pendwa
cc The Icebreaker
kinacho kufanya ubaki nae au uondoke ni malengo na misimamo yako ilio jiwekeaKuna watu wanajitoa kwa asilimia 100, wanatoa muda, upendo, na juhudi zote wakiamini siku moja watathaminiwa. Lakini ukweli ni kwamba si kila anayepokea juhudi zako anazithamini.
Mahusiano mazuri hayahitaji ujipoteze ili ukubalike. Mtu anayekupenda kwa dhati atakuheshimu, atathamini uwepo wako, na hatakufanya ujisikie kama lazima upambane ili upate nafasi kwenye maisha yake.
Je, unakubaliana na hili au unaona mapenzi yanahitaji kuvumilia hadi mwisho?
Naomba mawazo yenu yatakuwa tiba kwa sisi wote.
win-one
aise
@babamtakatifu
Tate Mkuu
Nawakaribishaa wote hao tags ni ambao nmenikaribsha imekuwa rahisi kuwakumbuka
wahenga walisema mvumilivu hula mbivu hao hao wakasema ngoja ngoja huumiza matumbo sasa sijui tushike lipi
Mnattongozana na Id za zamaniKuna watu wanajitoa kwa asilimia 100, wanatoa muda, upendo, na juhudi zote wakiamini siku moja watathaminiwa. Lakini ukweli ni kwamba si kila anayepokea juhudi zako anazithamini.
Mahusiano mazuri hayahitaji ujipoteze ili ukubalike. Mtu anayekupenda kwa dhati atakuheshimu, atathamini uwepo wako, na hatakufanya ujisikie kama lazima upambane ili upate nafasi kwenye maisha yake.
Je, unakubaliana na hili au unaona mapenzi yanahitaji kuvumilia hadi mwisho?
Naomba mawazo yenu yatakuwa tiba kwa sisi wote.
win-one
aise
@babamtakatifu
Tate Mkuu
Nawakaribishaa wote hao tags ni ambao nmenikaribsha imekuwa rahisi kuwakumbuka
sasa kwa ligi kama hiyo kinachozingatiwa hapo ni upendo au muonekano au ndio mtoto wa nyoka ni nyoka? Kwahiyo lazima akuumeMapenzi ni kama mashindano ya world cup tuu, lazima upambanie nafasi yako kwa 100%, ukizubaa kuna watu wanakuja kama best looser na watakuondoa kwenye nafasi yako
Hiyo mwanetu huwa inatumika sana na Id fulaniWapii hapo Kakamata Mwanetu
tegaaa!
mitandao imekua sehemu ya kujuana, waache waje tu.View attachment 3619371
JF katika mwaka huu Q1 na Q2 tumepokea wageni wengi inaonekana IG,tiktok na fb hazivutii tena
Ndo kwanza naamkaWewe siyo mjukuu wangu ephen_ kweli umekuja na ID mpya?
All in all, ni kweli mapenzi/mahusiano yanahitaji uvumilivu, kujitoa, kupendana kwa dhati, kuthaminiana, kuheshimiana, kuchukuliana, nk. Kinyume na hapo maumivu na kukata tamaa hutawala.
Am great, guy from calm city!Ana shida mgeni mchangamfu, enewei Hawayu a girl from Rockbyeš¤
Mmmh ipii hyo mbn msemo huu n wa kawaidaa sana from anko THiyo mwanetu huwa inatumika sana na Id fulani
Well saidUko sahihi, usijipendekeze na kujishusha thamani kwa mtu ambaye hastahili jitihada hizo, ni vizuri kujua upendo haulazimishwi wala hainunuliwi unakuja automatically tujifunze kuachia na kuondoka pale tusipohitajika ni nzuri kwa afya ya akili na mwili
who is anko tMmmh ipii hyo mbn msemo huu n wa kawaidaa sana from anko T
Mmmmh Nani Tenawho is anko t
mimi hilo neno huwa namwona mtu fulani anapenda kulitumia humu jf
Si useme TU I'd Yako ya zamani bibie na unaeza Kuta ni ndume hahaahaaa, Kuna kwaya ina imba, wajinga ndio waliwao,Eeeh umeniandamaa sana naona hutakii kuaminii Kama mm n mgeni