Usikatae ndoa sababu ya kufuata mkumbo

This makes sense
Kunywa soda mkuu😍
 

Jibu haya maswali:

1. We umeoa?
2. Una umri gani?
3. Kama umeoa una miaka mingapi na ndoa?
4. Jinsia yako?
 
Keyboard warriors 😂alafu ikifika unatomber mikono inajaa sperm tu sperm zinaruka kwenye shuka fwaaa😂
 
Kuoa ni jambo jema sana halafu kataa ndoa wapi kwemye Keyboard tuu
 
Love life basi
Naona na kushuhudia ndoa nyingi zinavyozorotesha amani za watu hasa wanaume, wangapi tumewaona humu wamefungua nyuzi za kuilaani ndoa kwa waliyopitia?

ingia uzi wa kimasihara uone wake za watu wanavyogawa, angalia mtaani kwako.

achilia mbali ugawaji wa mbususu, mchakato mzima wa kuoa umekaa kitapeli kuanzia napotongoza dem ananifanya mzazi wake nimhudumie tena matatizo yake anahamishia kwangu wakati huo akidai 50/50 na hanihudumii mimi.

Angalia wanaume wengi wenye masononeko na michepuko ni wale wanaonyimwa unyumba na wake zao.

Mnajenga pamoja kuna wengine maboya hadi wanasomesha mke, akishajipa ni kulizwa tu.

Ndoa ni utapeli kuanzia kuoa hadi pale ndoa inapovunjwa bado ni utapeli na matapeli ni wanawake wanawatapeli wanaume kifedha,kihisia,kimwili,kiroho na kila namna.
 
Kataa ndoa kwa 100% wameoa akili kumkichwa.....sasa we jichanganye 😃
 
Jibu haya maswali:

1. We umeoa?
2. Una umri gani?
3. Kama umeoa una miaka mingapi na ndoa?
4. Jinsia yako?
hapo nakujibu moja tu
Privacy policy za Jamiiforums zinanikataza kutoa taarifa binafsi.

4. Me
 
hapo nakujibu moja tu
Privacy policy za Jamiiforums zinanikataza kutoa taarifa binafsi.

4. Me

Foolish, stay stupid and revert in 40’s with regrets, Kuoa ni Jambo jema kama tutakaa kwenye misingi ya Imani vizuri!

Kukaa kwenye misingi ya Imani ni jambo gumu kuliko kitu chochote kwa vijana, imekuwa ngumu!

Mimi nimekuwa mtu wa dini sana, nataka nikueleze, ukiweza ishi bila ndoa, ni better kuliko kuoa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…