Vizuri! waweza kuniambia kwanini mtume paulo anakazia sana wazo la kutooa 1 Wak 7:1...?Foolish, stay stupid and revert in 40’s with regrets, Kuoa ni Jambo jema kama tutakaa kwenye misingi ya Imani vizuri!
Kukaa kwenye misingi ya Imani ni jambo gumu kuliko kitu chochote kwa vijana, imekuwa ngumu!
Mimi nimekuwa mtu wa dini sana, nataka nikueleze, ukiweza ishi bila ndoa, ni better kuliko kuoa!
Vizuri! waweza kuniambia kwanini mtume paulo anakazia sana wazo la kutooa 1 Wak 7:1...?
Kwanini Yesu kristo anasema mbinguni hamna kuoa wala kuolewa ni wana wa ulimwengu pekee ndio hufanya hivyo Luka 20:34-
Well saidKataa Ndoa ni Jamii ya vijana wa hovyo na wasio na akili pia.
Nina hoja nyingi sana kusapoti kauli yangu ila kutokana na muda naona niishie hapo mpaka panapo majaaliwa niitakapoKuja na Uzi rasmi wa kusafisha bongo zao.
sijavurugwa soma Mathayo 19:10-12
Kataa ndoa ni maamuzi binafsi au hali ya kuzaliwa nayo mtu asiingiliwe.
The solution is .........Sasa what do you think ni suluhisho ya hili janga
Kutomb(a) hakuna uhusiano wowoteee na Ndoa.Keyboard warriors 😂alafu ikifika unatomber mikono inajaa sperm tu sperm zinaruka kwenye shuka fwaaa😂
Kuna wati wengi sanaa wanajutia kuingia kwenye ndoa.Kuoa ni jambo jema sana
Huo wajibu unatekelezeka kikamilifu bila shida, labda shida unayo wee.Unajua maana ya ndoa wewe lakini...Au unadhan watu kuishi nyumba moja na walifunga ndoa ndio wapo kwenye ndoa.
Ndoa ina wajibu zake sasa Shoga ataweza kutekeleza wajibu wa ndoa kikamilifu kwa akili yako
Wee em apiaa! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hongera ww unayejua vizuri mambo ya ushoga
Huwa nachekaga sana nikikuta watu wanavyo jadili ushoga, hawana wanalolijua, wanaendeshwa na mihemko tyuuh.Hajui huyo yeye anadhani kuwa shoga means huwezi kuwa na mke, mashoga wengi tu ni wanandoa
Hivyo hivyo ulivyo elewa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba...?
Bila kujali wanauongelea ushoga katika angle ipi, ukweli ni kwamba ushoga ni kinyume na maadili yetu na ni kitendo kinatakiwa kukemewa. Hakuna sababu yoyote ya kutetea ushoga.Huwa nachekaga sana nikikuta watu wanavyo jadili ushoga, hawana wanalolijua, wanaendeshwa na mihemko tyuuh.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Hahanashangazwa na mtu anaechukia maamuzi ya mtu mwingine tena yasiyomuathiri kabisa.