kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
-
- #21
Hiyo nipe kesho asubuhi leo nitashindwa kulalahaha upo vizuri, kuna video YouTube mtu aliitazama akaogopa akaparalaizi hapohapo vipi nikupe link me niliogopa kuitazama ila link ipo.
Za kutisha za wachawi na majiniNielewehe Mkuu
Ooh km Harry Potter?Za kutisha za wachawi na majini
Nikipata muda nitazifatilia hiziConjuring series ina jumla ya movies kama 9 hv, unaanza kuangalia moja moja kwa mtiririko mzuri na mambo yanakuwa ๐ฅ Jioooooooni ya leo.
haha sawa nikuimbie lullaby ulale?Hiyo nipe kesho asubuhi leo nitashindwa kulala
Hiyo ni movie au jina la mtu?Ooh km Harry Potter?
Ndizi nini hiyo??haha sawa nikuimbie lullaby ulale?
Hiyo stori niliiskia ila sikuiaminihaha upo vizuri, kuna video YouTube mtu aliitazama akaogopa akaparalaizi hapohapo vipi nikupe link me niliogopa kuitazama ila link ipo.
Nilivyosikia tu hiyo tittle sijataka hata kujisumbuailitoka 2010s ni Bongo movie inatisha sana kama we muoga, utajikojolea mapema tu.
๐
vinyimbo fulani hivi vitamu vinapendeza nyakati za usiku hasa kwenye mambo ya mzabzabuanoNdio nini hiyo??
Hizo sojaziona kuna ile KHANZAB nilicheki mchana ila usiku nilijuta
Bongo movie hawanitishi siku hizi, labda ingekuwa THE NUN
Hii nzuri kwakwel๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃHorror movie ndio movie za wakubwa?
Umenichanganya mkuu๐๐vinyimbo fulani hivi vitamu vinapendeza nyakati za usiku hasa kwenye mambo ya mzabzabuano
vipi unaimanya hii filamu mkuuNilivyosikia tu hiyo tittle sijataka hata kujisumbua
Hebu nitajie series za The Conjuring zoteHata hii The NUN ni moja ya movies ya The Conjuring series.
Hongera yako mkuu๐๐Mimi nipo napiga dili la kuzibua choo, si unaona mvua zimeanzaa
Nyie kuleni movie
Hapana mkuu movie za kubongo sijawahi kuzielewavipi unaimanya hii filamu mkuu