kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
- #81
Mgeni anikumbatie kwa nyuma tena😁😁😁🙌Ndo maana unakosa usingizi, unadhani ungekuwa umekumbatiwa kwa nyuma saa hii ungekuwa macho kwa hiyo raha yake!?
Mgeni anikumbatie kwa nyuma tena😁😁😁🙌Ndo maana unakosa usingizi, unadhani ungekuwa umekumbatiwa kwa nyuma saa hii ungekuwa macho kwa hiyo raha yake!?
Hapo nimeziona mbili tuUkiweza kuangalia zote hizi kwa huu mtiririko itakuwa unyama sana mana kuna baadhi ya story zinategemeana
1: The Conjuring (2013)
2: Annabelle (2014)
3: The Conjuring 2 (2016)
4: Annabelle Creation (2017)
5: The NUN (2018)
6: The Curse Of La Llarona (2019)
7: The Conjuring (The devil made me do it) 2019
8: Annabelle (comes home) 2020
9: The NUN 2 (2023)
10: The Conjuring (Last Rites) Hii itatoka mwaka huu 2025
Hii nimeiona hata hamna kitu aiseeTexas Chainsaw massacre ni balaa ongezea na SAW X
Hii ilikuwa kweli mkuu huamini😁😁Ukipata unitag ila hakuna kitu kama hicho, n sawa na ile story ya wanafunzi wa kike kumbaka mlinzi kisa upwiru 😂 n story za kutunga tuu
Ulikuwa unaskip ndio maana 🙂Hii nimeiona hata hamna kitu aisee
Umebadili profile 😎Ulikuwa unaskip ndio maana 🙂
Ndio ile ilikuwa ya kipole sana 🙂Umebadili profile
Kumbe🙌🏾Ndio ile ilikuwa ya kipole sana 🙂
Hapo nmezungumzia mambo mawili, ww unasemea ipi?Hii ilikuwa kweli mkuu huamini😁😁
Pambana uchek zote, zina story nzuri na utafurahia muda wako kuziangaliaHapo nimeziona mbili tu
Ntazicheki mkuuPambana uchek zote, zina story nzuri na utafurahia muda wako kuziangalia
Hiyo ya wanafunzi wa kike kumbaka mlinzi ni kweliHapo nmezungumzia mambo mawili, ww unasemea ipi?
Nakuwaga mvivu kuangalia movie muda mrefuUlikuwa unaskip ndio maana 🙂
Hapana bas Sina wee 🙌
Ilitokea mkoa gn? Na hatua zipi zilichukuliwa?Hiyo ya wanafunzi wa kike kumbaka mlinzi ni kweli
Sikumbuki lakini nilisikia ilikuwa ni shule ya bweniIlitokea mkoa gn? Na hatua zipi zilichukuliwa?
Unajua n kwann hukumbuki?Sikumbuki lakini nilisikia ilikuwa ni shule ya bweni