Usiku kama huu uangalie na Horror Movie utalala kweli?

Usiku kama huu uangalie na Horror Movie utalala kweli?

Hebu nitajie series za The Conjuring zote

Ukiweza kuangalia zote hizi kwa huu mtiririko itakuwa unyama sana mana kuna baadhi ya story zinategemeana

1: The Conjuring (2013)
2: Annabelle (2014)
3: The Conjuring 2 (2016)
4: Annabelle Creation (2017)
5: The NUN (2018)
6: The Curse Of La Llarona (2019)
7: The Conjuring (The devil made me do it) 2019
8: Annabelle (comes home) 2020
9: The NUN 2 (2023)
10: The Conjuring (Last Rites) Hii itatoka mwaka huu 2025
 
hahaha kumbe unazimanya hizi urban legends and myths 😀
haya matangopori wengi wanayabugia naona umeyashtukia
Matangopori yapo mengi sana, juzi kati hapa JF nilikuwa namuelekeza mshikaji kuhusu tango pori la kubemenda mtoto ila akaamua kuchagua kugoma kunielewa nikaachana nae asiniumize kichwa, sasa ndo kama hy movie ya jini kuvuka barabara kwa kusubiri taa za barabarani ni tango pori tuu hakuna hy movie 😂
 
Back
Top Bottom