Usiku kama huu uangalie na Horror Movie utalala kweli?

Hapana mkuu movie za kubongo sijawahi kuzielewa
Haha niliacha hata mimi kuziangalia 2015 nimerudi 2025 baada ya DUNIA kutoka, unajua 2015 niliangalia bongo movie moja jini limevaa jezi ya Arsenal, afu linasubiri traffic lights kuvuka barabara!

Enzi hizo skadi ndio ziko kwenye fashion ni pwuu pwuu!
😀 😀 😀
 
Ushenz ushenz kama huo ndio mama
 
Back
Top Bottom