kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
-
- #61
Ngoja nizichekiHahahaha,we search Harry Potter utaona ziko nyingi tu
Vzr , baadae, mida hiiNgoja nizicheki
Hebu nitajie series za The Conjuring zote
Hakunaga hii movie ni story tuu mkuu πunajua 2015 niliangalia bongo movie moja jini limevaa jezi ya Arsenal, afu linasubiri traffic lights kuvuka barabara!
hahaha nitaitafuta nikutagHakunaga hii movie ni story tuu mkuu
H n long time ago eeeMirrors ipo vizuri haitishi sana ila ina story nzuri, hasa jina la Annah Esikar
Huwez kuipata mana hakuna kitu kama hicho πhahaha nitaitafuta nikutag
π π
2008 tu hapo mkuu πH n long time ago eee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] haha kipoHuwez kuipata mana hakuna kitu kama hicho
Since then!πππsince when??
Ndo long time yenyewe hy π2008 tu hapo mkuu π
Ukipata unitag ila hakuna kitu kama hicho, n sawa na ile story ya wanafunzi wa kike kumbaka mlinzi kisa upwiru π n story za kutunga tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] haha kipo
ulikuwa form ngapi mkuuNdo long time yenyewe hy
hahaha kumbe unazimanya hizi urban legends and myths πUkipata unitag ila hakuna kitu kama hicho, n sawa na ile story ya wanafunzi wa kike kumbaka mlinzi kisa upwiru, n story za kutunga tuu
Ndo maana unakosa usingizi, unadhani ungekuwa umekumbatiwa kwa nyuma saa hii ungekuwa macho kwa hiyo raha yake!?Sipendi wageni hatariππ
Matangopori yapo mengi sana, juzi kati hapa JF nilikuwa namuelekeza mshikaji kuhusu tango pori la kubemenda mtoto ila akaamua kuchagua kugoma kunielewa nikaachana nae asiniumize kichwa, sasa ndo kama hy movie ya jini kuvuka barabara kwa kusubiri taa za barabarani ni tango pori tuu hakuna hy movie πhahaha kumbe unazimanya hizi urban legends and myths π
haya matangopori wengi wanayabugia naona umeyashtukia
La sabaulikuwa form ngapi mkuu
Barikiwa sanaAJUZA mbona siijui
Ulale unono mrembo