EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,579
- 21,407
Ah basi yaisheIla we jamaa kwani unataka Nini?!
Ah basi yaisheIla we jamaa kwani unataka Nini?!
Hatuhitaji kujua story za mzee wako alivyokua choukorr kabla hajaanza kukufumua marinda hayo.Na huko arusha si ndiko ndiko baba yako alipopatezea marinda na akawa shoga jumla na ndio shoga mzee kuliko wote Arusha
AiseeeeeeeeeeeeAh basi yaishe
Hajakazwa, this is a cry for helpIla we jamaa kwani unataka Nini?!
Mnazidi kuukimbiza huu Uzi.Hajakazwa, this is a cry for help
Acha nikalale, imetosha 🤣Mnazidi kuukimbiza huu Uzi.
Huyu siyo wewe jana?Wenzio huko mitaani wanawaza kuandamana wapate haki yao,
We Unatafuta CONDOMU.?
Hivi huwa utafanya je hadi nyuzi zako kuwa na comment nyingi hivi, tupe siri aisee.Uliza swali la kizushi kwangu au kwa mwanaJF yoyote, utajibiwa.
Hizo ni story tu kimasihara miaka 35 sasa imepita hayo mambo.Huyu siyo wewe jana?
View attachment 3513304
Bora ninayetafuta ndom, kuliko mtu mzima kujisifu kulomba machangudoa.
View attachment 3513305
HUYU SI WEWE UKIDHIHAKI MAANDAMANO?
View attachment 3513306
View attachment 3513307
Jiheshimu 🤚🏽
Kaka Elli, vipi huko kwenu bado shwari?Hivi huwa utafanya je hadi nyuzi zako kuwa na comment nyingi hivi, tupe siri aisee.
Opinion gani unanitukana matusi ya nguoni?Hizo ni story tu kimasihara miaka 35 sasa imepita hayo mambo.
Ya kuandamana ndio si leo wanaenda huko?
Nimekumbusha muda wao tu ingawa mi sipo popote,sina Chama.
hata dini nasema ni pagan.
Nasali popote, kanisani,msikitini hata kwenye mwembe napiga sala,
Usikasirike ilikua opinion tu,si kwa nia mbaya.
And sorry for incovinience🙏.
Hadi muda huu ni shwari kabisa, ni upungufu wa harakati tu.Kaka Elli, vipi huko kwenu bado shwari?
Okay sorry, labda nilikua vyombo tu,sichutami nisikuulize tu "who are you"?Opinion gani unanitukana matusi ya nguoni?
Hebu rudia tena kusoma reply yako ya kwanza.
Umesema kweli, tunapenda sana stori za kufanyana ila tuna aibu sana kuzizungumzia ila tunazipenda.nahisi mara nyingi mada zangu zinagusa vile vitu vya kibinadamu ambavyo watu wanavyo moyoni ila wanaona soni kuvisema au hawajazoea kuona mwanawake akiviongelea.
Understood, mkilewa msije mtandaoni 😅 haya kaifute ile reply.Okay sorry, labda nilikua vyombo tu,sichutami nisikuulize tu "who are you"?
Jokes 😅😅🤣
Take not personal, i ddnt mean nothing bad
Hata hivyo si kawaida kwa ke kwenda kununua condom.Kununua condom imekua outrageous kwenye huu uzi siyo kwa sababu ni kitu cha ajabu, ningekua mwanaume hakuna mtu angeshtuka, ila kwa sababu ni aunty amesema inaonekana si kitu cha kawaida.
Hautakufa buana 😔
Sana 😢 ikawe kheri mabaya yasikufike.My friend Binti wa zamani nikifa utanililia?
Nachukulia sex kama swala la kawaida tu kama kula au kuoga, sina aibu nalo.Umesema kweli, tunapenda sana stori za kufanyana ila tuna aibu sana kuzizungumzia ila tunazipenda.
Wewe uliweza vipi kukata mshipa wa aibu eti?
I hope itabaki shwari hivyo hivyoHadi muda huu ni shwari kabisa, ni upungufu wa harakati tu.
Hata hivyo ni pembezoni mwa mji japo kipindi kile kiliwaka.