Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #221
Vincenzo Jr The beast in me 🔥🔥 🔥
Kula ushibe 😺,kila mtu atabeeeba mzigo wake mwenyewe, na kila mtu atatooa zawadi zake mwenyewe mbele za nini,siku hiyo itakuja.Ndizi zitaliwa kisawa sawa leo 😂😂
Mambo 😎Vincenzo Jr The beast in me 🔥🔥 🔥
Poa, vipi uliweza kutoka au na Sinza mlidhibitiwa?Mambo 😎
Mpaka sasa tumezuiwa kutoka labda kesho ila Leo tumefanyiwa roho mbaya sana ila kesho tutatokaPoa, vipi uliweza kutoka au na Sinza mlidhibitiwa?
Kesho si siku ya kazi? au ndiyo mnaendelea bila kukoma?Mpaka sasa tumezuiwa kutoka labda kesho ila Leo tumefanyiwa roho mbaya sana ila kesho tutatoka
Kuna uwezekano wakaendelea kumlinda mama Yao Tena ila ilifaa tuingie road Kila sikuKesho si siku ya kazi? au ndiyo mnaendelea bila kukoma?
Nina uhakika kesho askari watakuwepo pia.Kuna uwezekano wakaendelea kumlinda mama Yao Tena ila ilifaa tuingie road Kila siku
Tujipange wakati ujao inshallahNina uhakika kesho askari watakuwepo pia.
Ila mkifanya kila siku maisha yataendeleaje sasa?
Inshallah, I hope vyama vya upinzani vitaongoza na kuyapa nguvu next time.Tujipange wakati ujao inshallah
Nilikuw zangu nacheck movie, hamna cha D9 wala nn, Siku kuu tuu ndio kwetu ilipamba moto 🤣😁😎🤏Babe Xiao qui shui , wewe na rafiki yako Rayns mtakua wapi?
Okay, hope ulienjoy movie yakoNilikuw zangu nacheck movie, hamna cha D9 wala nn, Siku kuu tuu ndio kwetu ilipamba moto 🤣😁😎🤏
Muvi gani mkuu kama sio ulikuwa na @giftedgirlNilikuw zangu nacheck movie, hamna cha D9 wala nn, Siku kuu tuu ndio kwetu ilipamba moto 🤣😁😎🤏
Yeah 😎Okay, hope ulienjoy movie yako
Unajifanya mgumuuu🤣🤣🤣🤣🤣Yeah 😎
Ako katapel cjui ata kapo wap saivMuvi gani mkuu kama sio ulikuwa na @giftedgirl
Kalikuomba hela nini?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ako katapel cjui ata kapo wap saiv
Mkuu mm sio mlain lain kama unavyodhania 😎😎Unajifanya mgumuuu🤣🤣🤣🤣🤣
Eti ela ya nywele, babeki 🤣Kalikuomba hela nini?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Aaaah nakubali sana mkuuu ila sio kwa kumfokea shem ako sasa🤣🤣Mkuu mm sio mlain lain kama unavyodhania 😎😎