Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 13,075
- 38,625
I wish ningekuwa na nusu ya robo ya ujasiri wako, nina aibu nalo sio kidogo.Nachukulia sex kama swala la kawaida tu kama kula au kuoga, sina aibu nalo.
Japo, story nyingine huwa ni za kweli na baadhi ni changamsha genge tu au mambo nimesikia au kusoma mahali.
Hii ni kutokana na makuzi kumbiwa ni kitu kibaya kumbe ni mahitajio ya mwili kama mshitaji mengine.