Usiku wa leo Harmonize anaenda kuachia ngoma kali sana

Usiku wa leo Harmonize anaenda kuachia ngoma kali sana

Akitulia hua anaimba vizuri ila akiimba ili kushindana huwa anabolonga mno.
 
Dah hatari sna jeshi ni hatari mno ila mbona zile ngoma ulisema utanipatia kwa kuzipandisha hapa jamvini ila ukaingia mitini
 
Zipi hizo mkuu
Kuna zile ngoma ulisema ni za huyu harmonize ukasema ni nzuri mno basi Mimi kwakuwa nilikiwa sizijui nikaomba basi unipandishie katika uzi ule na Mimi nipate kuzisikia na pia niweze kuwasikilizisha marafiki zangu hapa kijijini kaka
 
Juzi kaachia Sherehe,leo kaachia Ujana kwa hiyo kuna nyingine mbili..........
 
Harmonize jeshi katangaza balaa usiku wa Leo Kwa mashabiki zake wanaenda kufurahi kwakua anaenda kuachia ngoma Kali sana mbili harmonize ndio mfalme wa bongo fleva ukibisha download ngoma zake halafu Kaa home sikiliza
Mzee umeagan na nyonga!!
 
kumbe bado huyu chimutu anaimba😕😕simsikii kabisa

nimesikia habari yake kua anadaiwa balaa😳😳😳

namsikia bosiwake tuu wazamani anapasua anga anasumbua dunia nawimbo wake wa niihaoo/komasava
 
kumbe bado huyu chimutu anaimba😕😕simsikii kabisa

nimesikia habari yake kua anadaiwa balaa😳😳😳

namsikia bosiwake tuu wazamani anapasua anga anasumbua dunia nawimbo wake wa niihaoo/komasava
Sijui
 
Back
Top Bottom