Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Mimi naongelea mziki wewe unaleta habari za madeni je wewe ni Mke wa harmonize mpaka uongelee madeni yake kama sio umbea ni nini mzee fanya kazi upate hela njaa imekupandia kichwani umechanganyikiwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sasa wewe upo kufanya nini kwenye huu uzi kama si umbea au unawashwa.Umewekewa link Documents,saini mihuri au ulitaka uwekewe nini,yaani unaifananisha CRDB na kiki za kipuuzi, kampuni ina reputation ya zaidi ya miaka 30,halafu ifanye utoto kama huo.