mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Saa 22:00 Pm EAT..Hili game linaanza saa ngapi?
Bonge moja ya game.Tupo kijiweni kwetu tuendelee kupeana update za ligi ya Mabingwa afrika,,kwa mechi za Leo jumamos na Jumapil alfajiri,tujue Nani ataongoza makundi na vilevile kujua Nani atasonga mbele Kati ya Al ahal🇪🇬 vs Al hilal🇸🇩
Karibuni
Nimechekaaa km chiziii yaan, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utopolo Uzi huu Hauwahusu...!
Uzi ni Maalum Kwa Wale Mashabiki Ambao timu Zao Zinashiriki Ligi Ya Mabingwa CAF 2023...!
Utopolo Mujitahidi Mkae Mbali... !
Majina Ya Wachezaji utakayoyasikia hapa ni Shalulile,Chama,Baleke n.k.
Sasa Muda Gani utachangia mada Wakati Mayele Na Musonda hapa hawatatajwa kbs..! Tunaomba tupisheni..! Tutawaita Muda Wenu ukifika!!
Ulimbukeni na ushamba ni mzigo mkubwa sanaUtopolo Uzi huu Hauwahusu...!
Uzi ni Maalum Kwa Wale Mashabiki Ambao timu Zao Zinashiriki Ligi Ya Mabingwa CAF 2023...!
Utopolo Mujitahidi Mkae Mbali... !
Majina Ya Wachezaji utakayoyasikia hapa ni Shalulile,Chama,Baleke n.k.
Sasa Muda Gani utachangia mada Wakati Mayele Na Musonda hapa hawatatajwa kbs..! Tunaomba tupisheni..! Tutawaita Muda Wenu ukifika!!
Umejiandaa lakini kukabiliana na mapovu ya wana utopolo [emoji23]Utopolo Uzi huu Hauwahusu...!
Uzi ni Maalum Kwa Wale Mashabiki Ambao timu Zao Zinashiriki Ligi Ya Mabingwa CAF 2023...!
Utopolo Mujitahidi Mkae Mbali... !
Majina Ya Wachezaji utakayoyasikia hapa ni Shalulile,Chama,Baleke n.k.
Sasa Muda Gani utachangia mada Wakati Mayele Na Musonda hapa hawatatajwa kbs..! Tunaomba tupisheni..! Tutawaita Muda Wenu ukifika!!
Umefurahia nnNimechekaaa km chiziii yaan, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Ulimbukeni na ushamba ni mzigo mkubwa sana
Al ahly leo anaweza asiamini macho yake.Wanaingia Uwanjani
Ibenge afungwi leo.Kila laheri Al Hilal na Ibenge japo mpira una matokeo katili.
Al ahly msimu huu wabovu, hawana tofauti na UtopoloAl Hilal wanajuaga kudefend ila hawajui kufunga magoli. Swali wanaweza kushikiria bomba dakika 90?