Usiku wa Mabingwa Afrika:: Kijiwe Cha kusubiri matokeo ya mechi za mwisho esp Al ahly Vs Al hilal

Usiku wa Mabingwa Afrika:: Kijiwe Cha kusubiri matokeo ya mechi za mwisho esp Al ahly Vs Al hilal

Utopolo Uzi huu Hauwahusu...!

Uzi ni Maalum Kwa Wale Mashabiki Ambao timu Zao Zinashiriki Ligi Ya Mabingwa CAF 2023...!

Utopolo Mujitahidi Mkae Mbali... !

Majina Ya Wachezaji utakayoyasikia hapa ni Shalulile,Chama,Baleke n.k.

Sasa Muda Gani utachangia mada Wakati Mayele Na Musonda hapa hawatatajwa kbs..! Tunaomba tupisheni..! Tutawaita Muda Wenu ukifika!!
Unajipooza baada ya utatu bila wa jana?
 
Si umeona goli walilotoka kukosa hapo?

Nasemaga hii timu ikipata kama striker mmoja mzuri na middle mmoja wanaweza kusumbua sana kwenye mechi za CAF maana kwenye ulinzi wako vizuri.
Makabi ni Mbovu?
 
Ile penalty waliyokosa dakika ya 92 dhidi ya Mamelodi wataijutia msimu mzima

Mapepo ya kiarabu yakatibua mipango
 
Sidhani maana wasudani wameweka pesa nyingi kwenye hiyo timu, alafu hata robo waikose.
Hata Samia aliweka pesa kwa stars. Mpira ni mbinu na mlivyojipanga na wala sio hamasa ya pesa na media kama mnavyofanya hapa Bongo
 
Ile penalty waliyokosa dakika ya 92 dhidi ya Mamelodi wataijutia msimu mzima

Mapepo ya kiarabu yakatibua mipango
Ile penalty sielewi walikosaje. Al Hilal walienda kuongea na kipa, kuna mchezaji wa Mamelodi alionekana kumshika bega mpiga penalty kama kumpa moyo ila nahisi hakukuwa na communication nzuri apige wapi na kipa aruke wapi.
 
Hata Samia aliweka pesa kwa stars. Mpira ni mbinu na mlivyojipanga na wala sio hamasa ya pesa na media kama mnavyofanya hapa Bongo
Sizungumzii hamasa, nazungumzia uwekezaji kwenye timu ya Al hilal, wana wachezaji wa bei ghali sana
 
Ila ibenge namwelewa sana mbinu zake anakaba na kushambulia kwa nidham sana na hata asipofuzu namsifu maana kapewa team mwaka mmoja na imenunua wachezaji 3/4 ya kikosi kizima ila kaweza kuwaunganisha na team imefanya vzr
 
Nilisema dakika chache zilizopita, al ahly wanashinda mapema tu na kweli wamepata goli dk ya 25. Leo al hilal wanapigwa 2 bila.
 
Nilisema dakika chache zilizopita, al ahly wanashinda mapema tu na kweli wamepata goli dk ya 25. Leo al hilal wanapigwa 2 bila.
Huo utabiri sio jambo la kijivunia. Ni sawa na mtu anakupaka mafuta makalio halafu unatabiri anataka kukushoga
 
Tupo kijiweni kwetu tuendelee kupeana update za ligi ya Mabingwa afrika,,kwa mechi za Leo jumamos na Jumapil alfajiri,tujue Nani ataongoza makundi na vilevile kujua Nani atasonga mbele Kati ya Al ahal[emoji1093] vs Al hilal[emoji1232]

Karibuni
Alhilal asipokaza anatoka.., maana mpaka mda huu half time ashakula chuma kimoja
 
Back
Top Bottom