Usiku wa Mabingwa Afrika:: Kijiwe Cha kusubiri matokeo ya mechi za mwisho esp Al ahly Vs Al hilal

Usiku wa Mabingwa Afrika:: Kijiwe Cha kusubiri matokeo ya mechi za mwisho esp Al ahly Vs Al hilal

Hii defence ya Al hilal leo,, mungu tu asaidie
 
Al ahly msimu huu wabovu, hawana tofauti na Utopolo
Kwa mashambulizi haya watabana ila wataachia na wakiachia mvua ya magoli inaweza kuwafuata. Ingewasaidia at least wangekuwa na uwezo wa kutisha pale mbele.
 
Hao Al hilal nawaangalia hapa wanacheza mpira wa kitoto sana, ni kama hawataki kufuzu,, hawatoboi leo
Mamelodi walijaribu kuwabeba wakashindwa kubebeka. Ni timu fulani ya ajabu ila nataka washinde.
 
Hawa ahly WA siku hizi kama wamchongo hawana amsha amsha
 
Al hilal unaweza kudhani wameuza game au tayari wameshafuzu
 
Basi wahesabu tu maumivu maana kwenye situation kama hizi mwarabu hakuachi
Si umeona goli walilotoka kukosa hapo?

Nasemaga hii timu ikipata kama striker mmoja mzuri na middle mmoja wanaweza kusumbua sana kwenye mechi za CAF maana kwenye ulinzi wako vizuri.
 
Back
Top Bottom