Usiku waa leo utafanyika ugawaji wa tuzo za Grammy

Tayla mwepesi mnoo, Bora hata ayra star.
Nyimbo yake ya rush iko na message fulani
 
Sisi tunaishi ndoto ya kuwa wa Nigeria, Wa Nigeria wanaishi ndoto ya kuwa Wamarekani.

Nimemuona star wao mmoja kavaa headband ya "Thug Life". 🤣🤣🤣
Mi Wana nifurahisha ile hustle spirit, wako tayari kuweka juhudi ili tu waonekane mbele.

Sisi uki julikana kidogo, ni kutafuta kina mwajuma uwavue sketi🤣🤣
 
We unafikiri kwa nini Remmy Ongala katika wimbo wake "Kifo" kamfagilia sana Mbaraka Mwinshehe? Remmy anakwambia hata Ujerumani walipiga rekodi za Mbaraka Mwinshehe. Hata Kinshasa Zaire Franco Tabu Ley wanamjua Mbaraka Mwinshehe. Wacongo wameanza kutufuatlia kitambo.

Hizo singeli alipigiwa Alicia Keys studio mwebyewe akakubali midundo yake mpaka kuzi post.

Ujue Bongo tulikuwa tukitumia chupa za whisky kuwekea maji ya kunywa tukasema ni umasikini, lakini akifanya hivyo mzungu tutasema huyu ni mwanamazingira anafanya recycling.

Kitu kizuri tukifanya wenyewe hatukitambui, mpaka kifanywe na mtu wa nje ndiyo tunakitambua.

Muone Alicia Keys anajimwayamwaya na "Wanga Wabaya" hapo.


View: https://youtu.be/q2ANyOTkT4o?si=eh_JZ0kd_gaagE6u
 
Kame shinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…