King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
ushahidi(exhibit).
Aisee hilo neno sisi zamani tulikuwa tunaita "kizibiti" kumbe lilitokana na hilo neno.
Kumbe neno kizibiti ndio limetokana na exhibit.ushahidi(exhibit).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ushahidi(exhibit).
Kumbe neno kizibiti ndio limetokana na exhibit.ushahidi(exhibit).
Umenichekesha sana mkuu, et kizibitiAisee hilo neno sisi zamani tulikuwa tunaita "kizibiti" kumbe lilitokana na hilo neno.
Kumbe neno kizibiti ndio limetokana na exhibit.
Umenichekesha sana mkuu, et kizibiti
Umenichekesha sana mkuu, et kizibitiAisee hilo neno sisi zamani tulikuwa tunaita "kizibiti" kumbe lilitokana na hilo neno.
Kumbe neno kizibiti ndio limetokana na exhibit.
Unazidi kuniua boss, daah hii ni hatari.Eheee mkuu haujawahi kusikia kwamba polisi wamemkamata na "kizibiti"?
Huyu ni Wakili kweli? Nina mashaka na uwakili wake!! Upekuzi umefanyika kwa kufuata taratibu na sheria halafu mtu akatae kusaini.
Ukikataa wakakupiga je?
Kuna Mijitu migumu kweli kuelewa,Mshaambiwa kama haujakutwa na hicho kitu basi usisign na kama umekutwa nacho basi ndiyo chako hicho.Mimi hata uniwekee Ngada kama siyo yangu bora uniuwe hapo hapo Magetoni kwangu sema sisaini hata aje Rpc.
apo mwisho sijaelewa hii sheria ni ya china au TZ?USIKUBALI KUSAINI NYARAKA HII UNAPOPEKULIWA NA POLISI
Na Bashir Yakub. WAKILI
+255 714 047 241
Polisi wanapokufanyia upekuzi, iwe wewe mwenyewe binafsi, nyumbani kwako, kazini kwako, gari lako au penginepo ipo fomu maalum ambayo wao wenyewe huijaza na kumtaka mtu aliyefanyiwa upekuzi naye kuijaza.
Fomu hii huitwa Certificate of Seizure. Fomu hii hujazwa hasa pale ambapo katika upekuzi kuna chochote kinatakiwa kuchukuliwa kama ushahidi(exhibit).
Ni fomu ambayo huoredhesha mali ama vitu ambavyo umekutwa navyo. Chochote ambacho umekutwa nacho ambacho wao wanatakiwa kukichukua/kuondoka nacho kama ushahidi basi huorodheshwa.
Hata kama kidogo kama pipi ama sindano madhali wanatakiwa kukichukua kwa ajili ya upelelezi basi hutakiwa kuorodheshwa kwenye hiyo fomu/hati.
Aidha, ni muhimu kujua kuwa ikiwa unapinga kuhusu kile kinachochukuliwa kuwa hukukutwa nacho ama hakikukutwa kwako basi usikubali kusaini fomu hiyo.
Hii ni kwasababu kukubali kwako kusaini fomu hiyo tafsiri yake kisherria ni kuwa umekubali kuwa umekutwa na hicho kitu.
Na endapo utafikishwa mahakamani basi fomu hiyo itawasilishwa kama ushahidi na kwasababu ulisaini basi ulikubali kuwa ulikutwa na kitu hicho.
Vinginevyo uwe unakubali kuwa ni kweli hicho kitu umekutwa nacho, basi hapo waweza kusaini. Lakini kama hukubali basi usisaini.
Msimamo huu ni wa Mahakama ya rufaa kupitia kesi ya SONG LEI VS THE DPP, AND THE DPP VS XIAO SHAODAN and Two Others, Consolidated Criminal Appeal Nos. I6'A' of 2016 & 16 of 2017, ambapo mahakama ilisema kuwa kusaini hati/fomu ya upekuzi ya mali zilizochukuliwa ni kukubali kuwa umekutwa na huo ushahidi.
Katika hii kesi raia wa China walisaini Pembe za Wanyama kukutwa ndani ya gari lao na ndo ukawa ushahidi dhidi yao.
Maamuzi mengine mengi yameeleza msimamo huu kuwa ukikubali kusaini umekubali kukutwa na huo ushahidi.
Ni muhimu sana kulijua eneo hili la mtego ambalo linaweza likakupeleka jela na yafaa basi kuwa makini katika mazingira hayo.
Mkuu nakubaliana naweKuna namna huwa wanakuja na kitu, wanakuwekea kisha wanakutaka usign kisha waondoke nacho. Sasa kama ni madawa na unahakika hukuwa nayo basi unatakiwa kukataa.
Kirungu chenye rangi gani huwa kinauma?Ndugu hawa Jamaa nadhani huwa wanavuta mibangi, wanaweza wakakugonga virungu hadi unakojoa, acha kabisa.
Mbona kaongea hapo mwisho yaani mistari ishirini tuu hujaelewa kitu sasa iwe kitabu itakuaje...Wakili hajatoa elimu amefanya uchochezi ambao watu wasipoelewa vizuri watajikuta matatizoni.
Alitakiwa kusema iwapo hukukutwa nacho kataa lakini kama umekutwa nacho saini.
Huwezi kukutwa na bangi (nazungumzia kukutwa nayo sio zile za kuwekewa) halafu ukaamua tu kukataa.
Kwahiyo watu waelewe ni kile usichokutwa nacho tu.
Bongo wengi wamebambikiwa kesi alichoongea jamaa yupo sahihi ili watu wajue na wapate Elimu tena katoa na kesi hapo...juzi tuu hapa tumesikia kauli ya kesi zisizo na ushahidi zifutwe au watu wasishtakiwe hapo kuna picha gani...Wakili MSOMI,nashukuru kwa ufafanuzi wako hapo hiyo form unaletewa katika mazingira gani?Hati uwe na uwezo wa kutosaini!?
Wewe ndo hujaelewa,mara ngapi police wanabambikizia watu kesi?Mfano;unaweza letewa bangi,bunduki,nyara,nk nyumbani kwako kabla ya upekuzi bila wewe kujua aidha kwa kutumia marafiki zako,jirani zako ambao wanajua madhaifu ktk kuacha milango wazi au vyovyote vile.Na baada ya kuchomekewa vitu hivyo police wanakuja nyuma kufanya upekuzi feki kwa kufata taratibu zote za kujipekuwa na kupekuliwa kabla ya kuingia kwako mbele ya waangalizi km balozi,mwenyekiti,jirani au vyovyote vile.Huyu ni Wakili kweli? Nina mashaka na uwakili wake!! Upekuzi umefanyika kwa kufuata taratibu na sheria halafu mtu akatae kusaini.
Dear,umesahau sahihi ya kidole gumba watakubania hapaUna sign signature ambayo si yako ukifika mahakamani unawakata kiulaini,hakuna haja ya kubishana nao hawa jamaa ni wajinga kweli kweli wakiwa katika anga zao wanaweza kukuumiza vibaya kisa ubishi wa kijinga ambao mwisho wa siku ukitumia akili unawaacha kwenye mataa.
Search warrant= hati ya kufanya upekuzi. Hiki ndicho kibali kinachowapa nguvu ya kufanya upekuzi. Ingawa askari anaweza fanya upekuzi bila hata ya kuwa na hati ya upekuzi akihisi kwenye gari yako kuna madawa ya kulevya etc ila ni lazima shahidi huru awepo.Kwenye iyo fomu si pia vinaorodheshwa na vitu ambavyo vimekutwa kwenye iyo office au nyumba, na pia kunakuwa na sehemu ya kusaini mjumbe au balozi,,, au iyo ni tofauti na search warrant!?
Nikukumbushe wakili wakati mwingine hiyo form mtuhumiwa husainishwa baada ya kipigo kikali ( labda kama huwajui polisi)USIKUBALI KUSAINI NYARAKA HII UNAPOPEKULIWA NA POLISI
Na Bashir Yakub. WAKILI
+255 714 047 241
Polisi wanapokufanyia upekuzi, iwe wewe mwenyewe binafsi, nyumbani kwako, kazini kwako, gari lako au penginepo ipo fomu maalum ambayo wao wenyewe huijaza na kumtaka mtu aliyefanyiwa upekuzi naye kuijaza.
Fomu hii huitwa Certificate of Seizure. Fomu hii hujazwa hasa pale ambapo katika upekuzi kuna chochote kinatakiwa kuchukuliwa kama ushahidi(exhibit).
Ni fomu ambayo huoredhesha mali ama vitu ambavyo umekutwa navyo. Chochote ambacho umekutwa nacho ambacho wao wanatakiwa kukichukua/kuondoka nacho kama ushahidi basi huorodheshwa.
Hata kama kidogo kama pipi ama sindano madhali wanatakiwa kukichukua kwa ajili ya upelelezi basi hutakiwa kuorodheshwa kwenye hiyo fomu/hati.
Aidha, ni muhimu kujua kuwa ikiwa unapinga kuhusu kile kinachochukuliwa kuwa hukukutwa nacho ama hakikukutwa kwako basi usikubali kusaini fomu hiyo.
Hii ni kwasababu kukubali kwako kusaini fomu hiyo tafsiri yake kisherria ni kuwa umekubali kuwa umekutwa na hicho kitu.
Na endapo utafikishwa mahakamani basi fomu hiyo itawasilishwa kama ushahidi na kwasababu ulisaini basi ulikubali kuwa ulikutwa na kitu hicho.
Vinginevyo uwe unakubali kuwa ni kweli hicho kitu umekutwa nacho, basi hapo waweza kusaini. Lakini kama hukubali basi usisaini.
Msimamo huu ni wa Mahakama ya rufaa kupitia kesi ya SONG LEI VS THE DPP, AND THE DPP VS XIAO SHAODAN and Two Others, Consolidated Criminal Appeal Nos. I6'A' of 2016 & 16 of 2017, ambapo mahakama ilisema kuwa kusaini hati/fomu ya upekuzi ya mali zilizochukuliwa ni kukubali kuwa umekutwa na huo ushahidi.
Katika hii kesi raia wa China walisaini Pembe za Wanyama kukutwa ndani ya gari lao na ndo ukawa ushahidi dhidi yao.
Maamuzi mengine mengi yameeleza msimamo huu kuwa ukikubali kusaini umekubali kukutwa na huo ushahidi.
Ni muhimu sana kulijua eneo hili la mtego ambalo linaweza likakupeleka jela na yafaa basi kuwa makini katika mazingira hayo.
Kwa virungu utakavyopigwa saini utaiweka tuKwa hiyo we ukisainishwa kitu ambacho unahakika hakikuwepo kwako utasaini?