“Usile nyama siku ya IJUMAA KUU”. Je, ni nyama aina gani ruksa kuila siku hii?

The Dictator

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
4,475
Reaction score
12,281
Ijumaa Kuu; (ambayo ni sehemu ya Wiki Takatifu kwa Wakristo, hasa Wakatoliki), waumini wengi hufuata utaratibu wa kikanisa kama kufunga na kujinyima, ikiwa ni pamoja na kutokula nyama ya wanyama wa nchi kavu kama vile:

Ng'ombe

Kuku

Mbuzi

Kondoo

Nguruwe

Nyama inayo ruhusiwa siku ya Ijumaa Kuu ni SAMAKI, kwa sababu:

Samaki huishi majini, na kwa mafundisho ya Kanisa Katoliki, hawaangukii kwenye jamii ya “nyama za nchi kavu” zinazopaswa kuepukwa wakati wa kujinyima.

Samaki pia huchukuliwa kama chakula cha kawaida (si cha anasa), kitu ambacho kinaendana na roho ya toba na unyenyekevu wa siku hiyo.

Kwa hiyo, samaki wa aina yoyote—kama sato, sangara, kambale, samaki wote wa maji baridi na samaki wa baharini

—wanaruhusiwa kuliwa Ijumaa Kuu, mradi haivunji nia ya kufunga na kujinyima.

~ Kila lakheri ndugu zangu wakristo katika safari ya kuelekea sherehe za sikukuu ya Pasaka.
 
Expressio unius est exclusio alterius.
 
Na akili yangu niongozwe na nadharia za theolojia? Kula nyama as you wish haina correlation na matendo yako wala imani. Haya utayakuta tu huku dunia ya tatu kwenye imani za kuletewa.
 
Ijumaa Kuu; (ambayo ni sehemu ya Wiki Takatifu kwa Wakristo, hasa Wakatoliki), waumini wengi hufuata utaratibu wa kikanisa kama kufunga na kujinyima, ikiwa ni pamoja na kutokula nyama ya wanyama wa nchi kavu kama vile:

Ng'ombe

Kuku

Mbuzi

Kondoo

Nguruwe

Nyama inayo ruhusiwa siku ya Ijumaa Kuu ni SAMAKI, kwa sababu:

Samaki huishi majini, na kwa mafundisho ya Kanisa Katoliki, hawaangukii kwenye jamii ya “nyama za nchi kavu” zinazopaswa kuepukwa wakati wa kujinyima.

Samaki pia huchukuliwa kama chakula cha kawaida (si cha anasa), kitu ambacho kinaendana na roho ya toba na unyenyekevu wa siku hiyo.

Kwa hiyo, samaki wa aina yoyote—kama sato, sangara, kambale, samaki wote wa maji baridi na samaki wa baharini

—wanaruhusiwa kuliwa Ijumaa Kuu, mradi haivunji nia ya kufunga na kujinyima.

~ Kila lakheri ndugu zangu wakristo katika safari ya kuelekea sherehe za sikukuu ya Pasaka.
Mafundisho ya roma
 
Kutokula nyama ni kanuni ya wakatoliki pekee na haina uhusiano na dini, ni mila za kipagani zilizoingizwa kwenye ukatoliki na kufanywa kanuni ya kanisa hilo. Mwenye ushahidi kibiblia atuwekee hapa.
 
Back
Top Bottom