The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,475
- 12,281
Hata dagaa ni samaki kaka😂Samaki ni chakula cha kawaida? Labda perege, Kilo ya sato unaijua bei yake?
Amen.Asante Kwa ujumbe mzuri
Yesu afufuke ndani yako
Expressio unius est exclusio alterius.Ijumaa Kuu; (ambayo ni sehemu ya Wiki Takatifu kwa Wakristo, hasa Wakatoliki), waumini wengi hufuata utaratibu wa kikanisa kama kufunga na kujinyima, ikiwa ni pamoja na kutokula nyama ya wanyama wa nchi kavu kama vile:
Ng'ombe
Kuku
Mbuzi
Kondoo
Nguruwe
Nyama inayo ruhusiwa siku ya Ijumaa Kuu ni SAMAKI, kwa sababu:
Samaki huishi majini, na kwa mafundisho ya Kanisa Katoliki, hawaangukii kwenye jamii ya “nyama za nchi kavu” zinazopaswa kuepukwa wakati wa kujinyima.
Samaki pia huchukuliwa kama chakula cha kawaida (si cha anasa), kitu ambacho kinaendana na roho ya toba na unyenyekevu wa siku hiyo.
Kwa hiyo, samaki wa aina yoyote—kama sato, sangara, kambale, samaki wote wa maji baridi na samaki wa baharini
—wanaruhusiwa kuliwa Ijumaa Kuu, mradi haivunji nia ya kufunga na kujinyima.
~ Kila lakheri ndugu zangu wakristo katika safari ya kuelekea sherehe za sikukuu ya Pasaka.
sisi wapagani tutakuwa wapi?Kesho walevi watapata sababu ya kushinda bar wakihuzunika Yesu kufa…ikifika saa 6 yatakula nyama km kawa..!! 😹😹😹
Juu ya vinena 😏sisi wapagani tutakuwa wapi?
Red meat ,white meat zinatofautiana .Umenikumbusha wafuga rasta hawali nyama ila wanakula kuku 😂
Mafundisho ya romaIjumaa Kuu; (ambayo ni sehemu ya Wiki Takatifu kwa Wakristo, hasa Wakatoliki), waumini wengi hufuata utaratibu wa kikanisa kama kufunga na kujinyima, ikiwa ni pamoja na kutokula nyama ya wanyama wa nchi kavu kama vile:
Ng'ombe
Kuku
Mbuzi
Kondoo
Nguruwe
Nyama inayo ruhusiwa siku ya Ijumaa Kuu ni SAMAKI, kwa sababu:
Samaki huishi majini, na kwa mafundisho ya Kanisa Katoliki, hawaangukii kwenye jamii ya “nyama za nchi kavu” zinazopaswa kuepukwa wakati wa kujinyima.
Samaki pia huchukuliwa kama chakula cha kawaida (si cha anasa), kitu ambacho kinaendana na roho ya toba na unyenyekevu wa siku hiyo.
Kwa hiyo, samaki wa aina yoyote—kama sato, sangara, kambale, samaki wote wa maji baridi na samaki wa baharini
—wanaruhusiwa kuliwa Ijumaa Kuu, mradi haivunji nia ya kufunga na kujinyima.
~ Kila lakheri ndugu zangu wakristo katika safari ya kuelekea sherehe za sikukuu ya Pasaka.
Kutokula nyama ni kanuni ya wakatoliki pekee na haina uhusiano na dini, ni mila za kipagani zilizoingizwa kwenye ukatoliki na kufanywa kanuni ya kanisa hilo. Mwenye ushahidi kibiblia atuwekee hapa.Ijumaa Kuu; (ambayo ni sehemu ya Wiki Takatifu kwa Wakristo, hasa Wakatoliki), waumini wengi hufuata utaratibu wa kikanisa kama kufunga na kujinyima, ikiwa ni pamoja na kutokula nyama ya wanyama wa nchi kavu kama vile:
Ng'ombe
Kuku
Mbuzi
Kondoo
Nguruwe
Nyama inayo ruhusiwa siku ya Ijumaa Kuu ni SAMAKI, kwa sababu:
Samaki huishi majini, na kwa mafundisho ya Kanisa Katoliki, hawaangukii kwenye jamii ya “nyama za nchi kavu” zinazopaswa kuepukwa wakati wa kujinyima.
Samaki pia huchukuliwa kama chakula cha kawaida (si cha anasa), kitu ambacho kinaendana na roho ya toba na unyenyekevu wa siku hiyo.
Kwa hiyo, samaki wa aina yoyote—kama sato, sangara, kambale, samaki wote wa maji baridi na samaki wa baharini
—wanaruhusiwa kuliwa Ijumaa Kuu, mradi haivunji nia ya kufunga na kujinyima.
~ Kila lakheri ndugu zangu wakristo katika safari ya kuelekea sherehe za sikukuu ya Pasaka.
Sawa 😂 watu sio watoto humuRed meat ,white meat zinatofautiana .