Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 927
- 1,368
Kuna andiko linaloonyesha kukatazwa kwa nyama hizo?Ijumaa Kuu; (ambayo ni sehemu ya Wiki Takatifu kwa Wakristo, hasa Wakatoliki), waumini wengi hufuata utaratibu wa kikanisa kama kufunga na kujinyima, ikiwa ni pamoja na kutokula nyama ya wanyama wa nchi kavu kama vile:
Ng'ombe
Kuku
Mbuzi
Kondoo
Nguruwe
Nyama inayo ruhusiwa siku ya Ijumaa Kuu ni SAMAKI, kwa sababu:
Samaki huishi majini, na kwa mafundisho ya Kanisa Katoliki, hawaangukii kwenye jamii ya “nyama za nchi kavu” zinazopaswa kuepukwa wakati wa kujinyima.
Samaki pia huchukuliwa kama chakula cha kawaida (si cha anasa), kitu ambacho kinaendana na roho ya toba na unyenyekevu wa siku hiyo.
Kwa hiyo, samaki wa aina yoyote—kama sato, sangara, kambale, samaki wote wa maji baridi na samaki wa baharini
—wanaruhusiwa kuliwa Ijumaa Kuu, mradi haivunji nia ya kufunga na kujinyima.
~ Kila lakheri ndugu zangu wakristo katika safari ya kuelekea sherehe za sikukuu ya Pasaka.
Hata mimi pia nautaka huo ushahidi wa bibliaKutokula nyama ni kanuni ya wakatoliki pekee na haina uhusiano na dini, ni mila za kipagani zilizoingizwa kwenye ukatoliki na kufanywa kanuni ya kanisa hilo. Mwenye ushahidi kibiblia atuwekee hapa.
Kutokula nyama ni kanuni ya wakatoliki pekee na haina uhusiano na dini, ni mila za kipagani zilizoingizwa kwenye ukatoliki na kufanywa kanuni ya kanisa hilo. Mwenye ushahidi kibiblia atuwekee hapa.
Umenikumbusha wafuga rasta hawali nyama ila wanakula kuku
Ubarikiwe mkuuKatoliki wana amri za
1. Mungu
2. Amri za kanisa.
Amri ya kufunga jumatano ya majivu na kutokula nyama siku ya ijumaa kuu ni za kanisa.
Hamna sehemu wamesem ni za kibiblia. Na tunafundishwa hvyo tangu watoto.
So tunza energy zako kubishania vitu havikuhusu.
Nikutakie alhamis kuu.
Acha kamdomo hizo ni sheria za kanisa sio za BibliaHata mimi pia nautaka huo ushahidi wa biblia
Uongo! Ras gani anakula kuku? Labda kitimoto!Umenikumbusha wafuga rasta hawali nyama ila wanakula kuku 😂
Kanisa linatoa wapi sheriaAcha kamdomo hizo ni sheria za kanisa sio za Biblia
Kwakuwa kitimoto sio nyamaUongo! Ras gani anakula kuku? Labda kitimoto!
Wewe ulipenda zitoke wapi?Kanisa linatoa wapi sheria
Kwenye BibliaWewe ulipenda zitoke wapi?
Mimi nakula nyamaIjumaa Kuu; (ambayo ni sehemu ya Wiki Takatifu kwa Wakristo, hasa Wakatoliki), waumini wengi hufuata utaratibu wa kikanisa kama kufunga na kujinyima, ikiwa ni pamoja na kutokula nyama ya wanyama wa nchi kavu kama vile:
Ng'ombe
Kuku
Mbuzi
Kondoo
Nguruwe
Nyama inayo ruhusiwa siku ya Ijumaa Kuu ni SAMAKI, kwa sababu:
Samaki huishi majini, na kwa mafundisho ya Kanisa Katoliki, hawaangukii kwenye jamii ya “nyama za nchi kavu” zinazopaswa kuepukwa wakati wa kujinyima.
Samaki pia huchukuliwa kama chakula cha kawaida (si cha anasa), kitu ambacho kinaendana na roho ya toba na unyenyekevu wa siku hiyo.
Kwa hiyo, samaki wa aina yoyote—kama sato, sangara, kambale, samaki wote wa maji baridi na samaki wa baharini
—wanaruhusiwa kuliwa Ijumaa Kuu, mradi haivunji nia ya kufunga na kujinyima.
~ Kila lakheri ndugu zangu wakristo katika safari ya kuelekea sherehe za sikukuu ya Pasaka.
Hakuna aliyekukatazaMimi nakula nyama
Ila msidanganye watuHakuna aliyekukataza
Unajidanganya mwenyeweIla msidanganye watu