Usimdharau mtu, jifunze kupitia Historia ya maisha ya Kevin de Bruyne

Usimdharau mtu, jifunze kupitia Historia ya maisha ya Kevin de Bruyne

Ofcourse game za Chelsea & Madrid KDB hua anakamia sana!

Back to topic
Courtis hakumzunguka jamaa sema ni demu baada ya kumwacha KDB akaenda kwa courtis

KDB harakati zote anazifanya kwa Chelsea na Madrid ni ushamba kwa sababu kwa wakati huo ni kwel hakua na kiwango Cha kucheza Chelsea pia kuonesha hasira kwa courtis ni ishara kwamba bado anampenda yule demu

Mtazamo huru!
Hivi kuna ulazima wowote wa kutaka kubaki na mtu na unajijua kbs una hali ngumu? Yaan upo broke unataka binti wa watu akuvumilie mpaka ujipate! Huyo binti alikua sahihi sana kumove on kauskiliza moyo wake

Binafsi nikipata fursa ya vijana wenzangu wa kiume ntawaambia focus kujijenga kiuchumi kwanza ukishajipata vzr ndo uanze harakati za kusaka wachumba, ukitanguliza mapenzi utakwama na uanze kuwaweka wadada wa watu kwenye historia yako
 
Maybe, acha niendelee na yangu kwa Sasa.
👉Namnukuu mwenyekiti wa umoja was ma future billionaire to be Mpaji Mungu ana sema focus on your map for now.
😁😁😁Usitaje jina langu mbele ya Nifah huyu home girl wangu asije akaenda mwambia mamangu mm ni kataa ndoa jf
 
hamna mchezaji apo ni takataka tu kama takataka zingine ni vile tu ana cheza Epl sifa zinakua nyingi ila courtois ni moja kati ya makipa bora waliopita kwenye hii Dunia ila kevin huwezi kumuweka kwenye list ya wachezaji bora waliopita kwenye hii Dunia ata tu kwenye viungo bora watatu wa EPL wa nyakati zote huwezi mtaja
Una umwa wewe si bure🙄🙄, ma legend wa mpira Wana mu heshimu.
👉 Wewe ambaye hata team ya Kijiji chenu haumo, una toa trash ka ume lewa😆
 
Binafsi nikipata fursa ya vijana wenzangu wa kiume ntawaambia focus kujijenga kiuchumi kwanza ukishajipata vzr ndo uanze harakati za kusaka wachumba, ukitanguliza mapenzi utakwama na uanze kuwaweka wadada wa watu kwenye historia yako
Nime penda hii pharagraph ya mwisho, hayo mengine ni pumba za kitajiri😃😆
 
Back
Top Bottom