Usimdharau mtu, jifunze kupitia Historia ya maisha ya Kevin de Bruyne

Wote waliwahi kuwa ni wachezaji wetu hao , ila kumbuka Chelsea ya Roman Abrahmovich ilikuwa na approach tofauti na Chelsea ya sasa ,hii inayolea na kuvumilia makinda , Chelsea ile ya yule Mrusi ukinunuliwa na kuletwa pale Stamford Bridge ujue umeletwa kuleta results immediately na sio kuja kupuyanga ukitegemea kupewa muda wa kuonyesha uwezo ,ile ilikuwa hamna ,
Priority ilikuwa ni results na kuonyesha uwezo
Ndio maana hata Akina Salah na wengine yaliwashinda maana walikutana na demanding coach kama Muorinho ,mzee wa ushindi na matokeo ,hataki kujua potential yako .
 
Ahahah..we kaa kinyonge tu ile kwako, jukwaan hapa JF kila mtu ana ka profile kake.. halaf kuna kale profile ka wote ka u great thinker..kila mtu sio mchovu..Na toka lini GT uwe mnyonge mnyonge?😂😂
Jobless Mimi, huo u great thinker ni utolee wapi😃😃😃.
👉Labda tajiri Mpaji Mungu 😃🤒
 
Papuchi , ndo inayopendwa au mwanamke ndo anayependwa,
 
Nipo nje ya mada kaka.

Changamoto kama za huyu mchezaji ndizo humfanya mtu kupambana zaidi na hasa kuipambania nafasi yake inayoonekana kutomfaa.

Kabla haujafika kwenye kilele cha mafanikio, ni lazima upitie mambo mabaya na mazuri. Na katika mabaya ndo humsukuma mtu na kumfanya afike kwa wakati pia maana huenda bila yale mambo mabaya kumtokea angebweteka, msukumo wa kufanya vizuri ungekuwa mdogo, pamoja na kuridhika na hatua ndogo iliyopo.

Mioyo yetu huwa haifurahishwi na vitendo vile watu wengine wanatufanyia ikiwemo kuchekwa, na hata kuonekana hauna uwezo flani. Kupitia mambo magumu tunayopitia huwa tunaongeza juhudi zaidi ili 'tu-prove wrong' kuwa hatukupaswa kuwa nyuma.

Msemo wa Kisukuma; 'Mpaka usekwe, ng'huna usaba'.
 
Safi, Ume fikiria extra miles.
 
[emoji847][emoji847]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…