Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #101
Madam moja ya tabia niliyo nato, I always sticky with the same people.Shida ya wengi wenu huwa mnawaacha wanawake zenu wa zamani kipindi mmepigika mnaenda kutafuta wanawake wapya ambao ndio huwa mnaamini ni wa hadhi mnayoitaka baada ya kuanza kushika pesa, na ndio sababu wanawake wengi huwa wanajikataa mapema mahala ambapo wanaona hawapaelewi.
👉Toka niko down, Hadi ninapo kwenda.
👉