Usimdharau mtu, jifunze kupitia Historia ya maisha ya Kevin de Bruyne

Usimdharau mtu, jifunze kupitia Historia ya maisha ya Kevin de Bruyne

Shida ya wengi wenu huwa mnawaacha wanawake zenu wa zamani kipindi mmepigika mnaenda kutafuta wanawake wapya ambao ndio huwa mnaamini ni wa hadhi mnayoitaka baada ya kuanza kushika pesa, na ndio sababu wanawake wengi huwa wanajikataa mapema mahala ambapo wanaona hawapaelewi.
Madam moja ya tabia niliyo nato, I always sticky with the same people.
👉Toka niko down, Hadi ninapo kwenda.
👉
 
Huenda bila kuachwa angebweteka na asingekuwa na machungu ya kufanikiwa km aliyonayo sasa. cc: Lucas Mwoshambwa usikate tamaa kuimba mapambio. Huenda siku moja ukagawiwa kijiko cha asali ulambe
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji3]but why lucas mwashwambwaaa
 
Kwenye maisha ukitaka kuishi kwa raha epuka mashindano na epuka kulipiza kisasi
Kuwa mtu wa shukurani na kusamehe.
 
Back
Top Bottom