Usimdharau mtu, jifunze kupitia Historia ya maisha ya Kevin de Bruyne

Mkuu nikusahihishe kdg thibaut alisajiliwa na Chelsea 2011 akapelekwa kwa mkopo atletico kwa misimu 3 alivorejea akaakaa chelsea hadi 2018 ambapo akakimbilia realmadrid
 
Huenda bila kuachwa angebweteka na asingekuwa na machungu ya kufanikiwa km aliyonayo sasa. cc: Lucas Mwoshambwa usikate tamaa kuimba mapambio. Huenda siku moja ukagawiwa kijiko cha asali ulambe
Chawa nene hilo.
 
Hata hivyo huyo Ex wake hana cha kupoteza kwa maana hata mumewe wa sasa Thibaut Courtois ni Tajiri mkubwa sana tuu...
Na hakuna Medali ambayo De bruyne ameivaa na Thibaut Courtois hajaivaa...

Kiufupi hakuna kitu ambacho anamiliki na De bruyne na Courtois hana...
 
Mleta mada usikaze kichwa .. Wengi wamekosoa uandishi wako hasa namna ya mpangilio wa matukio. Kwa wanaofaham historia ya hao wote wawili namna ulivyowasirisha umekuwa mtu wa kisengere nyuma japo maana na dhamira uliyotaka kuifikisha imefika.

Niungane na mchangiaji mmoja hum aliyesema KDB Kuwa na Chuki na Chelsea au Thibaut Courtois ni ishara ya kuwa bado hajakomaa na hajamove on.. ni kweli kabisa na anatakiwa kubadilika ili angalau afurahie maisha yake ya soka na familia. Lakin akiendelea kufanya kama anavyofanya ili ku waprove wrong huyo Ex Wake na Chelsea basi ataendelea kuteseka ki fikra na kihisia

Kipindi anasajiliwa Chelsea, Chelsea ilikuwa tayari ina watu na ilikuwa ngumu kwake kuingia kwenye mfumo moja kwa moja na ndio maana hata huyo Thibaut Courtois alisajiliwa na Chelsea na kutolewa kwa mkopo kwenda Atletico. Ni kocha gani kichaa angeutoa ule utatu wa Mata, Hazard na Oscar aje kukupa nafasi wew KDB unayejitafuta. Akubali kuwa kwa kipind kile wakati wake ulikuwa bado na bahat mbaya kwa Chelsea hawakuwa na mda wa kumvumilia mchezaji.

Mwisho ni kuwa Huyo X wa KDB Amewah kaliliwa akisema kuwa Usiku mmoja aliolala na Thibaut Courtois alimridhisha kuliko miaka yote aliyokuwa na KDB. Kuna point ya kuchukua hpa, kuwa pamoj na mwanamke kukuvumilia kwa umaskin wako ulionao lakin bdo huwez kumtoshereza vyema kweny tendo unataka afanye nin mtoto wa watu. Nazani alivyokuwa anajiimarisha kisoka basi na sehem nyingine alizingatia
 
Kwani uyo demu wake wa zamani anaishi maisha ya kifukara? Bwana ake anacheza real madrid maana yake mambo safi tu.
 
Kuna mechi ya real Madrid vs man city, angalia reaction ya Yule Dem alipo kutana na kdb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ