Usimfanyie wema kupitiliza mke wa mtu

N

Ndio Waume zetu mtuonyeshe care ndani, hadi tukinai hizo za nje.

Ukute mume ndani anafoka foka na kununa nuna, huko nje workmate full care na masmile.....
Mtego wa kuvunja ndoa,utaelewa ikishavunjika.
Kaulize wenzio wanaokanyaga mafuta ya kutaka kurejesha ndoa kwa mitume watakuambia.
Ndoa Huwa ni ya kwanza tu
 
Hapana naona huwajui wanawake wewe vizuri! Mwanamke ni mtu wa hisia sana ukionesha kumjali kidogo tu lazima akuzawadie tunda..ndo akili zao zilivo.
Mtoa maada yupo sahihi 100%.
 
Na wanaume Ndio hupitia huo mwanya na wanafanya kwa muda tu sio milele ili apate k
Ukiingia mgahawani ukaitisha chakula ukala ukashiba, utaendelea kukaa tena hapo hapo mpaka utakaposikia njaa? Si Waondoka kwenda kufanya shughuli nyingine?



Nina imani nimekujibu vizuri
 
Ujumbe umetufikia sawasawa
 
Nakupa mambo mawili

1.wanawake wengi was kileo Wana waume wawili 1.wa kiroho yule aliembikiri 2.wa kimwili ambae umehalalisha kimchongo kwa dini ambayo Haina mashiko kiroho hasta ufanyaje!!!


2.unapooa aliebikiriwa tayari umeoa make was mtu na hatothamini ndoa yake fake hivyo Hataona shida kufanya uzinzi na me mwingine!!


Nakushauri fikiria mengine coz huo uchi ni wake na wewe huna umuhim mkubwa kwake kuliko yule aliembikiri,hivyo ana haki ya kumpa yeyote anaemtaka hasta kama yupo na wewe!!!
 
Thread nzito. Yenye ujumbe mzito ila kwa maneno machache.
 
Mpaka sasa sijaona wanangu wa KATAA NDOA Wakuu wa NDOA NI UTAPELI walioapa kutokurubuniwa kama Mabroo.

Wanangu mnaniangusha, sijapenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…