Best thread ever.The fear of unknown.
Mkuu tatizo la vijana wengi ni kuamini WANAWAKE HAWAJUI WANACHOKIFANYA.
Vijana acheni kujipa sababu za kuhalalisha UMALAYA wao, Ukiona MKEO amesaidiwa na mtu kisha akaachia Uchi. Basi ujue ulioa Malaya tokea awali. Swala la Mkeo kuliwa nje halina uhusiano wowote na wewe wala aliyemsaidia. Ni yeye na Umalaya wake FULL STOP.
Hakuna sababu yeyote ya MSINGI ambayo itafanya mke achepuke tofauti na UMALAYA wake mwenyewe.
Always focus na issues zako za msingi kupambania future yako usije kuishi kwa mateso uzeeni.
Be a Man.
Nishaanza kuwa makini, asante kwa mchango mkubwa. Although sitaki kabisa wake za watu.Ukiona Mwanamke ana mazoea na wanaume basi kuwa makini nae Mkuu.
Kuna wanaume wanaonyeshwa care na wanasalitiwa na kuna Uzi humu kuna mdada aliomba ushauri alimsaliti mwanaume aliyeishi maisha matakatifu na kumcare sana, kumnunulia nguo, kupiga stori, akamcheat, sema Mungu hamuachi mtu wake, akamuexpose, mwanaume akaacha kucare, akaleta Uzi tumshauri.N
Ndio Waume zetu mtuonyeshe care ndani, hadi tukinai hizo za nje.
Ukute mume ndani anafoka foka na kununa nuna, huko nje workmate full care na masmile.....
Unaweza kucare na ukacheatiwa mzee, kiufupi ukikosea kuoa , umekosea hata ufanye nini, hapo inahitaji rehema na neema za Mfalme wa Wafalme kumbadilisha mwanamke.Mkuu kama umeolewa na Bandidu basi ni jukumu lako kumbadili awe Mr Romantic na sio kukubali Care za wanaume wengine.
CARE INA PRICE, HAKUNA VYA BURE...
Uko sahihi na sio mumewe tu, hata mchumba wake anayemtolea mahari.Mwanamke yeyeto anaegongwa nje ni lazima amdharau mmewe
Kumbe mshagundua mbinu zetu[emoji119][emoji23][emoji23]Na wanaume Ndio hupitia huo mwanya na wanafanya kwa muda tu sio milele ili apate k
Kumbe mshagundua mbinu zetu[emoji119][emoji23][emoji23]Na wanaume Ndio hupitia huo mwanya na wanafanya kwa muda tu sio milele ili apate k
Sasa shida ni ukijaliwa lazima uliwe, we unataka upate utamu pekee yako tu wenzako wanaokujali wasikukule wapate utamu?Waacheni wanaojua kujali watujali, na Sisi binadamu tunahitaji hizo care, kuwa mke wa mtu sio ulemavu...Kuwa mke wa mtu haiondoi Ile asili ya ubinadamu kutaka kuona unajaliwa na kuthaminiwa, mke wa mtu ni title tu.
Wale magents, endeleeni kutuonyesha care, tunawapenda.
Ridhika na chaguo la moyo wako hata kama ni bovu. Maadam ulijitosa kaza roho usitafute mume mwingine ili hali upo ndoani!N
Ndio Waume zetu mtuonyeshe care ndani, hadi tukinai hizo za nje.
Ukute mume ndani anafoka foka na kununa nuna, huko nje workmate full care na masmile.....
Huu ndiyo ukweli halisi. Mwanamke malaya ni malaya tu hata umfanyie nini kama mke.The fear of unknown.
Mkuu tatizo la vijana wengi ni kuamini WANAWAKE HAWAJUI WANACHOKIFANYA.
Vijana acheni kujipa sababu za kuhalalisha UMALAYA wao, Ukiona MKEO amesaidiwa na mtu kisha akaachia Uchi. Basi ujue ulioa Malaya tokea awali. Swala la Mkeo kuliwa nje halina uhusiano wowote na wewe wala aliyemsaidia. Ni yeye na Umalaya wake FULL STOP.
Hakuna sababu yeyote ya MSINGI ambayo itafanya mke achepuke tofauti na UMALAYA wake mwenyewe.
Always focus na issues zako za msingi kupambania future yako usije kuishi kwa mateso uzeeni.
Be a Man.
Usipofanyiwa haya ndiyo unarudi kwenye asili yako ya umalay,a?Waacheni wanaojua kujali watujali, na Sisi binadamu tunahitaji hizo care, kuwa mke wa mtu sio ulemavu...Kuwa mke wa mtu haiondoi Ile asili ya ubinadamu kutaka kuona unajaliwa na kuthaminiwa, mke wa mtu ni title tu.
Wale magents, endeleeni kutuonyesha care, tunawapenda.
Ila wangu usijaribu nikujue. Ntakupiga uchawi wa ki Indonesia... Huponi hata kwa maombi ya mwamposaAll in all mke wa mtu ni mtamu.
JidanganyeUsipofanyiwa haya ndiyo unarudi kwenye asili yako ya umalay,a?
Mbona wapo wake za watu hawafanyiwi hizo care na bado wapo imara kwenye ndoa zao na kumjali mume bila kujali yeye hamjali.
Atanirudisha kwetu🤣🤣🤣 Ila anacare Baba K wangu, Yani wanaume wengine sijui nawaonajee.Wifi nimepata 🤣🤣🤣
Natamani hii comment aione baba K
Wewe unaonekana mbinafsi sanaHuu ndiyo ukweli halisi. Mwanamke malaya ni malaya tu hata umfanyie nini kama mke.
Kuna mke hata usipoonesha kumjali yeye atakujali na kukupenda kwa moyo wote na wala hatofikiria ujinga wowote ule.
Tatizo wengi wanaoa malaya waliojificha kwa muda then baadae wanarudi kwenye asili yao ya umalaya.
😂😂😂 wifi umebadili gia anganiAtanirudisha kwetu🤣🤣🤣 Ila anacare Baba K wangu, Yani wanaume wengine sijui nawaonajee.
Aisome Kwa herufi kubwa, nimefoka Yani🤣🤣aisome Ngariba1 💃