Usimfanyie wema kupitiliza mke wa mtu

😂😂😂 wifi umebadili gia angani
Kweli wifi, Baba K kanipa limbwata sijui....Mimi wa kumpenda mtu hadi nalia🤣🤣🤣 madanga nayaona takataka Mimi?
Itakuwa kachimbia vyuzi langu jalalani🤣🤣🤣
 
Kweli wifi, Baba K kanipa limbwata sijui....Mimi wa kumpenda mtu hadi nalia🤣🤣🤣 madanga nayaona takataka Mimi?
Itakuwa kachimbia vyuzi langu jalalani🤣🤣🤣
Twende nikakuzindue haiwezekani uyaone madanga takataka 😂😂😂
 
Twende nikakuzindue haiwezekani uyaone madanga takataka 😂😂😂
We hata usipate shida ya kunizindua, niache hadi yaniue🤣🤣🤣 akitaka anigeuze ndondocha kabisaaa🤣🤣🤣
 
Nimeshindwa kutambua huyu kachapiwa au anachapa!!

Anyway, labda kama anahitaji zaidi ya matumizi yangu. Kama anavyohitaji navimudu, nampa hadi amwone mumewe kama binamu yake tu.

As long as nimeridhika, namhudumia hadi apendeze kiwango cha mumewe kushangaa.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Usisahau, mwanamke anaweza kukengeuka kutokana na mwenendo wa mumewe.

Wewe hulali nyumbani wiki, lakini hujasafiri, unalala tu kwa mchepuko. Ukifika nyumban ni kubadilisha nguo na kupotelea mtaani.

Usivyo na akili unatoka hadi na mfanyakazi mwenzie wa ofisi moja, au business partner wa mkeo na anamdharau.

Kwako hakufuata pesa na majengo, alifuata kwanza mhogo mengine ni mapambo tu.

Ukitaka asiwe malaya, mpe talaka halafu endelea na michepuko yako. Siyo uoe mke umweke ndani halafu unalala nae kama dadako.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Shida mume hampi nafasi mkewe kueleza shida zake. Akiwa na jambo mume ni kupiga simu bas

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Ila wake za watu watufanyie wema kupitiliza
 
Kimeumana nini..?
 
We zombie
 
We hata usipate shida ya kunizindua, niache hadi yaniue🤣🤣🤣 akitaka anigeuze ndondocha kabisaaa🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 huba limekolea nazi shatashata
Wee wifi wee umepigaje hapo?
 
Nani kaumiza huyu tena??...[emoji2356][emoji2356] whaa ladies
 
Picha linaanza

Unamuona mdada kakaa kiutamu, unamfuata unamsalimia anaitikia, stori mbili tatu unamwambia umemuelewa anakujibu yeye ni mke wa mtu. Unamyomba namba anasita kidogo then anakuambia lete simu nikuandikie lakini mimi ni mke wa mtu.

Pumbavu zangu mimi, enewei. Uto, mmeona umuhimu wa sare nyumbani ee
 
[emoji1320][emoji1320]
 
Ikiwa itabidi uwe na mawasiliano na mke wa mtu basi yawe kwa heshima na umbali na yasikaribie mipaka ya vishawishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…